Ujangili wa kutisha

Hizi zimepatikana kwa sababu mshiko ulikuwa kidogo. Mali ya 2.1b jamaa wanataka kutoa 15m. Hapo walikutana na polisi mwenye kujua mahesabu kidogo ndo maana lilibuma. Nadhani walitaka 10% ambayo ni 210m.
 
hii nchi hakuna linaloshindikana! ukute wameshatuuza na sisi wenyewe na pesa wameshakula, ila hatujijui, Lord Have Mercy!
 
Hizi zimepatikana kwa sababu mshiko ulikuwa kidogo. Mali ya 2.1b jamaa wanataka kutoa 15m. Hapo walikutana na polisi mwenye kujua mahesabu kidogo ndo maana lilibuma. Nadhani walitaka 10% ambayo ni 210m.
Nakubaliana na dhana ya kwamba dau lilikuwa dogo,wakatizama na uwezekano wa kupandishwa cheo,wakaona em 15 hailipi.
 
hawa wala sikubaliani nao bali ni dagaa wakubwa wako nyuma yao huu ulikuwa ni mtaji wa wakubwa tusubirini tu kunamengi yataonekana nakusikika
 
acha wakenya wanaojituma waje kujichukulia mali za wajinga walio lala! mkiamka tembo wote wameisha, mtabaki na vitabu vya historia kuwa nchi yetu ilikuwa na tembo!
 
Back
Top Bottom