educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 403
- 464
Naelewa kuondokewa na mwenzi wa maisha inauma na kubadilisha muelekeo wa maisha. Sasa hiv kumezuka hali ya wanawake waliofiwa na waume zao (Wajane) kutumia hali yao ya kuwa wajane kulia lia ooh mimi mjane mimi mjane! huku hajishughulishi.
Hivi majuzi stendi ya Mwenge kulikuwa na bomoa bomoa sasa wameibuka kina mama wanajiita "WAJANE" eti kwanini serikali imewabomolea wakati wao ni wajane.
Kuwa mjane sio maana yake ufanye vitu kiholela bila kufuata sharia. KUWA MJANE SI TIKETI YA KUWA MVIVU na KULALAMA TU. KAMATA FURSA sahau yaliyopita. SONGA MBELE.