Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,494
Nimepokea taarifa kutoka kwa ndugu yangu kuwa maeneo ya Mabibo Jeshini kuna Dada amepigwa risasi na majambazi na kufariki papo hapo, alikuwa na hela nyingi ambazo bado kiasi hakijajulikana.
Majambazi hawajafanikiwa kuchukua hela wameondoka na mkoba tu hela aliweka kwenye mifuko ya suruali na juu akavaa dera.
Majambazi hawajafanikiwa kuchukua hela wameondoka na mkoba tu hela aliweka kwenye mifuko ya suruali na juu akavaa dera.
Huyu dada ni wakala wa Mpesa na Tigopesa hapa Ilala, alishawahi kupigwa na kuporwa pesa akitoka benki CRDB imepita karibia mwezi now wameamua kumtoa roho .R.I.P.