Uislamu ni project ya wakatoliki

Wasabato masalia mna shida sana. kwani mkieneza ppropaganda za dini yenu bila kutaja za wengine hamuendi mbinguni?
 
Uislamu ungekuwa umeundwa na Kanisa Katoliki ingekua dini nzuri isiyo na ukatili. Hiyo dini ilianza kwa ufunuo wa ibilisi shetani. Na lengo ni kuzuia Injili ya Yesu Kristo kuenea duniani. Lakini Injili lazima ienee duniani kote kabla Yesu Kristo kurudi.
 
Bado hujajua mengi, endelea kusoma zaidi utaelewa dini ni project za watu
 
Huku tunatumia “Mkuu” sio mzee
 
Nikama vile unatuambia kuwa Uislamu umeanzishwa na katoliki ili upingane na Uyahudi,Ajabu ni kwamba Aya nyingi zinapinga ukristo na kuwaita wakristo ni watu walio “potea”
Muhammad ni mtume wa mwisho ameletwa kukamilisha Uislamu na ndio dini sahihi,Uislamu ni mafundisho ya kumpwekesha Allah (sw) na kamwe Allah hajazaa wala hajazaliwa kama mnavyo amini nyie makafiri
 
Sasa hapo ndo panaonyesha mi nimezaliwa muislam?😃

Kuwa serious mzee, mi sijawahi kuwa muislam kamwe, siwezi kabisa kuwa kwenye dini dhaifu ya mudi.

Huwezi kuwa na akili ukawa muislam.

Hebu niambie hapa, kwa nini we ni muislam.
Kwa nini ulibatizwa?
 
KAMA ALLAH SIO MUNGU WA KIPAGANI, KWANINI BABA YAKE MUHAMMAD AMBAYE ALIKUWA MPAGANI ALIITWA ABDULLAH?

(Sahih Muslim, Book 001, Number 0398).

Imeripotiwa na Anas: Hakika, mtu mmoja alisema: Mjumbe wa Allah, baba yangu yuko wapi? Akasema: Yuko motoni. Alipogeka kuondoka, (Mtume mtakatifu) akamwita na kusema: Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni.

Na swali ambalo tungependa wajiulize ni kuwa, kwa nini baba yake Muhammad, ambaye alikuwa mpagani aliitwa ‘Abdullah’?

Na kwa kuwa ‘Abdullah’ maana yake ni ‘mtumwa wa Allah’, hii ni ishara ya wazi kwamba wapagani wa kipindi cha jahiliyah walikuwa wakimwabudu Allah hadi kufikia kuwapa watoto wao majina kwa heshima ya Allah – kama ambavyo Wayahudi nao walikuwa wakiwapa watoto wao majina kwa heshima ya Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Kwa mfano:
Yoshua – Yahwe ni wokovu;
Yothamu – Yahwe ni mkamilifu;
Yehoahazi – Yahwe ameshikilia;
Hezekia – Yahwe ametia nguvu;
Elisha – Mungu ni wokovu, n.k.

Jibu liko wazi. Allah alikuwa ni mungu wa kipagani aliyeabudiwa kabla ya Uislamu kuja. Na mungu huyu alikuwa ni ‘mungu mwezi’, yaani ‘al-ilah’. Jina lake jingine aliitwa ‘hubal.’ Mungu huyu wa kipagani aliabudiwa kote.
 
Makala nzuri,ukipata muda muda pia elezea vita vya mamluki,pamoja na crusades
 
Chrislam in the making!

Mleta mada yupo sahihi sana!Mtume Muhammad kaibuka ibuka TU katika historian eti aliipokea qurani kwenye mapango huko!!na akaanza kutamka iqrah bismirabica laadhiih ghalaka !!
 
Chrislam in the making!

Mleta mada yupo sahihi sana!Mtume Muhammad kaibuka ibuka TU katika historian eti aliipokea qurani kwenye mapango huko!!na akaanza kutamka iqrah bismirabica laadhiih ghalaka !!
ndo iwe mwaka 1924?? mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…