Uislamu ni project ya wakatoliki

Sasa hapo ndo panaonyesha mi nimezaliwa muislam?😃

Kuwa serious mzee, mi sijawahi kuwa muislam kamwe, siwezi kabisa kuwa kwenye dini dhaifu ya mudi.

Huwezi kuwa na akili ukawa muislam.

Hebu niambie hapa, kwa nini we ni muislam.
Ngoja tuone nani ambaye hana akili

Wewe siku uliyozaliwa ulikuwa na dini gani?

Yesu siku aliyozaliwa alikuwa na dini gani?

Mariam mama wa Yesu siku aliyozaliwa alikuwa na dini gani?
 
Ngoja tuone nani ambaye hana akili

Wewe siku uliyozaliwa ulikuwa na dini gani?

Yesu siku aliyozaliwa alikuwa na dini gani?

Mariam mama wa Yesu siku aliyozaliwa alikuwa na dini gani?
Mtu hazaliwi na dini acha utoto.
Mtoto anapozaliwa anakuwa empty hana dini, kabila wala utaifa. Baada ya kuzaliwa anarithi vitu vyote kutoka kwa walezi wake.

Dini dhaifu ya kiislam ndo inafundisha eti mtu anazaliwa akiwa muislam. Hili ni fundisho la kijinga mzee.
 
Unao ushahidi wa haya uliyoandika?

Au umeyatoa kichwani kwako?
 
Unao ushahidi wa haya uliyoandika?

Au umeyatoa kichwani kwako?
Inamaana ninaposema mtu anazaliwa akiwa mtupu kabisa hana chochote unahitaji ushahidi?
Uislam huu wa Muhammad ndo umeleta fundisho la kwamba mtu anazaliwa akiwa muislam.

Unaweza kunionyesha kwenye vitabu vya Mungu vya kabla ya mudi ambapo panaonyesha mtu anazaliwa akiwa muislam?
 
Luka 1:13
Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.
Luka 1:14
Nawe utakuwa na furaha na shangwe, na watu wengi watakufurahia kuzaliwa kwake.
Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.

Andiko hilo hapo Yohana amezaliwa. Akiwa Muislam
 
Hebu fafanua mkuu, sijaona uislam hapo pengine we umeona.
 
Vatican created Islam in the 7th century to control the Arab world and to create a military power that could seize Jerusalem for the pope.”
Wewe umesoma wapi hii habari,

Uthibitisho uko wapiii
 
Mbona siku zote mnawasahau orthodox ambao ndo mgawanyiko wa kwanza wa kanisa ndo wakatokea roman catholic (kanisa la magharibi) na orthodox (kanisa la mashariki )
 
Mbona siku zote mnawasahau orthodox ambao ndo mgawanyiko wa kwanza wa kanisa ndo wakatokea roman catholic (kanisa la magharibi) na orthodox (kanisa la mashariki )
Paulo ndio aliyoamzisha ukristo na hiyo kazi alipewa na Dora ya roman empire na yeye Paulo ni mrumi

Matendo ya Mitume 22:28
Jemadari akajibu, Mimi nalipata wenyeji huu kwa mali nyingi. Paulo akasema, Na mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
 
Hebu fafanua mkuu, sijaona uislam hapo pengine we umeona.
Wewe si umesema binadamu anapozaliwa anakuwa hana dini?

Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.

Nimekupa andiko hilo linasema Yohana mbatizaji alijazwa roho mtakatifu tokea akiwa tumboni Kwa mama yake

Kwahiyo Yohana amezaliwa akiwa Muislam

Au unao ushahidi kuwa dini ya Yohana mbatizaji sio uislam?
 
Hebu fafanua mkuu, sijaona uislam hapo pengine we umeona.
Nasema tena, mtoto anazaliwa empty hana chochote kinachohusiana na mafundisho ya Duniani.

Inamaana we jamaa kwa akili zako unahisi kuna jambo lolote linalohusu uislam limezungumzwa kwenye Biblia? Hebu kuwa serious achana na watu wanoungaunga aya. Biblia wakati inaandikwa hakukuwepo na kitu "uislam".

Kwenye hiyo Aya, uislam wa yohana upo wapi mbona sioni? Hebu eleza vizuri mkuu.
 
Paulo ndio aliyoamzisha ukristo na hiyo kazi alipewa na Dora ya roman empire na yeye Paulo ni mrumi

Matendo ya Mitume 22:28
Jemadari akajibu, Mimi nalipata wenyeji huu kwa mali nyingi. Paulo akasema, Na mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
Roman empire iliukubali ukristo wakati gani? Maana wamekuja kuudandia ukristo huko mbeleni baada ya kuona mbinu zao za kuutuliza hazifanikiwi,,,,na ukristo ukakua zaidi kipindi cha Byzantine empire ambayo ilikua ni muendelezo wa roman empire japo makao makuu yalikua Uturuki na sio roma na mgawanyiko na orthodox ndo ulipoanzia hapo kuna watawala walitaka nguvu ya utawala pamoja na kanisa ubaki uturuki huku wengine wakitaka ubaki Roma, ukiongezea na sababu zingine ndo ukatokea huo mgawanyiko, na kila upande mashariki na magharibi hadi sasa kila upande unasema wao ndo waasisi, kwahio inategemea umepikwa kwenye propaganda za wamagharibi au mashariki,,,wa mashariki wanasema wao ndo kanisa la kweli la mwanzo huku kwa wamagharibi nao wanavutia mpira kwao......kwa Afrika ni lazima upikike kwa propaganda za wamagharibi maana makanisa kwa asilimia kubwa huku yaliingia kipindi cha ukoloni na yote yalikua ni branch za roman catholic au roman catholic wenyewe,,,,,hakuna kanisa la mashariki lililoshiriki kwenye ukoloni ndo maana propaganda zao hazijasambaa kama za wamagharibi
 
Akili za mburahati
 
Hao Islam hawajui historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…