Mi siamini kabisa maneno ya Quran. Naona ni mashairi tu ya kutungwa. Sasa unapotetea mada kwa kuunga unga Aya za Biblia takatifu na Quran naona unaharibu tu point yako. Ndio maana tangu mwanzo nilikwambia usichanganye Aya za Biblia na Quran kwenye point moja.Taurati ni Sheria na hukumu Kwa ajili ya Wana wa Israel
Quran 17:2
Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na mtegemewa ila Mimi!
Na sio Taurati tu manabii wote waliotokana na kizazi Cha Isaka na Yakobo Hadi nabii wa mwisho ambaye ni Yesu walikuwa ni manabii Kwa ajili ya Wana wa Israel tu
Mungu anamfunulia Nabii Mika Ujio wa Yesu
Mika 4:2
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Yesu anathibisha kuwa utabiri wa nabii Mika upo sahihi na umetimia
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Quran ikaja kugongelea msumari kuwa Yesu alikuwa mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,
Manabii 3 hao Yani Mika , Yesu mwenyewe na Muhammad wote kauli zao zinafana kuwa Yesu ni mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel
Manabii walioandikwa ndani ya Bibilia ni manabii waliyotoka katika kizazi Cha Ibrahim, Isaka na Yakobo lakini manabii walikuwa wengi katika miji mbalimbali ambao humo katika Bibilia hawapo Historia inasema manabii walikuwa zaidi ya laki 2
Na Ile miji ambayo haikupelekewa nabii kabisa hawakuadhibiwa na Wala hawataenda motoni Kwa sababu sio kosa lao
Kama ilivyo Kwa waliokufa wakiwa watoto au waliozaliwa machizi wataenda peponi haijalishi walikuwa katika uislam au ukristo au upagani
Pia Miungu alishasema hatawaadhibu watu ambao hakuwapelekea mtume
Quran 17:15
Anaye ongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anaye potea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke Mtume.
sureHongera Kwa kutambua kuwa kanisa katoliki ni dini ya kipagani
Ila labda Kuna kitu ambacho bado haujakijua ni kuwa
Kanisa katoliki ndio baba wa madhehebu ya makanisa yote Duniani
Martin Luther alitoka katika kanisa katoliki akaanzisha kanisa la Lutheran church
Uingereza walijitenga kutoka kanisa katoliki wakanzisha Anglican church
Helena white alijitenga kutoka kanisa katoliki akaanzisha kanisa la sabato
Kama sio kuwepo Kwa kanisa katoliki na hayo makanisa mengine yote yasinge kuwepo
Hivyo basi ukristo wote ni mpagani
Ila hayo mengine sijui uislam na kanisa katoliki hapo bado Wazungu wanakudanganyeni Ili muendelee kuwa mizukule Yao
Najua kuwa wewe haumini Quran na kama ungeiamini usingekuwa mkristoMi siamini kabisa maneno ya Quran. Naona ni mashairi tu ya kutungwa. Sasa unapotetea mada kwa kuunga unga Aya za Biblia takatifu na Quran naona unaharibu tu point yako. Ndio maana tangu mwanzo nilikwambia usichanganye Aya za Biblia na Quran kwenye point moja.
Nina maswali mengi kinoma ila hebu turudi nyuma kidogo, ulisema Yesu ndo Isa. Kivipi Isa ni Yesu wakati ni watu ambao matendo yao ni tofauti.
Sifa za Yesu,.Najua kuwa wewe haumini Quran na kama ungeiamini usingekuwa mkristo
YESU NDIO ISA?
Quran 3:45
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
Quran 3:46
Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
Quran 3:47
Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
Quran 3:48
Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili.
Quran 3:49
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini.
Huyo ndio Isa
1) Ni mtoto wa Mariam
2) Mimba yake imeingia bila ya baba
3) Ni mtume Kwa Wana wa Israel
4) Amepewa kitabu Cha Injili
5) Alifanya miujiza kama kufufua maiti kuponyesha vipofu na wenye mbalanga ndani ya Taifa lake la Israel
Haya na wewe weka hapa sifa za Yesu tuone ndio yeye au sio
Umeona ukitumia identity kuwa Yesu ni nani utachemka ndio umekimbilia katika vihoja dhaifuSifa za Yesu,.
✓Luka 9:35
Sauti ikatoka katika wingu, ikisema, huyu ni mwanangu, mteule wangu, msikieni yeye.
••Vipi Isa naye ni mwana wa Mungu?
✓Mathayo 16:21
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi na kuuawa na siku ya tatu kufufuka.
••Vipi Isa naye alikufa na kufufuka?
✓Luka 3:21
Ikawa, watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu naye amebatizwa, naye anaomba, mbingu zilifunuka.
••Vipi, Isa naye alibatizwa?
Tuanze hapo kwanza, vipi Isa ndo Yesu?
Mzee, hizo hoja nimekupa ni dhaifu?Umeona ukitumia identity kuwa Yesu ni nani utachemka ndio umekimbilia katika vihoja dhaifu
Mzee, hizo hoja nimekupa ni dhaifu?
_Yesu kuwa mwana wa Mungu ni hoja dhaifu?
_Yesu kusulubiwa na kufa Kisha kufufuka ni hoja dhaifu?
_Yesu kubatizwa ni hoja dhaifu?
Naona haupo serious na mada. Mi hoja zako kuhusu Isa sijakataa ila za Yesu ambazo zipo wazi unasema ni dhaifu. Ingekuwa nimezitunga ungesema dhaifu ningekubaliana nawe. Ila sasa naona upo kiubishani na si kujifunza na kuheshimu Imani yangu.... Isa sio Yesu. Nguvu za Yesu hata Allah wenu hana halafu umfananishe na Isa?
Nikajua utakuja kuendelea kumfananisha kwa kuleta hoja zingine ila umekuja kupinga kitu ambacho kipo wazi. Kabishane na watoto wenzio, ukitaka tujadili jibu hoja acha ubishi wa kitoto.
Kwa maelezo ya namna hii tutamaliza mada sasa? Kuanza kujibu hayo maswali yako ni kutoka kabisaaaa kwenye point. Isa sio Yesu tubaki hapo.Wewe umeweka hoja zako na maandiko ya Bibilia na Mimi nimekujibu Kwa hayo hayo maandiko ya Bibilia
Ili kukuonyesha kuwa hoja zako ni dhaifu Bibilia lenyewe linapingana katika hizo hoja zako
MWANA WA MUNGU
Umeweka andiko mwandishi anasema sauti ilisikika kutoka mbinguni ikisema huyu ni mwanangu
Yesu mwenyewe anasema sauti ya Mungu haijawahi kusikika kwahiyo Mungu hajawahi kusema kuwa huyu ni mwanangu
Au unataka kusema Yesu ni Muongo katika hili?
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.
YESU KUSURUBIWA
Marko 15:25
Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.
Marko 15:26
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Mariko anasema saa tatu Yesu alikuwa yupo msalabani anasurubiwa
Yohana 19:13
Basi Pilato, aliposikia maneno hayo, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo Sakafu ya Mawe, au kwa Kiebrania, Gabatha.
Yohana 19:14
Nayo ilikuwa Maandalio ya pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!
Yohana anasema saa sita Yesu alikuwa yupo mahakamani Kwa Pilato
Jibu hili swali ni Yesu yupi saa tatu yupo msalabani na Yesu yupi saa sita yupo mahakamani?
UBATIZO WA YOHANA
Yesu amebatizwa na Yohana na ubatizo wa Yohana sio ishu katika uislam Kwa sababu Yohana ni nabii wa kweli wa Mungu na Imani yake ilikuwa Mungu ni mmoja na yeye ni mtume wa Mungu na unabii wake aliufikisha Kwa watu Kwa njia ya ubatizo na sio kama alimbatiza Yesu tu aliwabatiza pia wayahudi wengi na huo ubatizo wa Yohana hauna uhusiano wowote na Ukristo
Nimekuambia hoja zako ni dhaifu Kwa sababu Bibilia linyewe linapingana katika hoja zako na haya ndio madhara yaliyotokana na kuchakachuliwa Kwa maandiko ya Bibilia
Jibu haya maswali
1) Yesu anasema sauti ya Mungu haijawahi kusikika na mtu yoyote wewe unakubali au unapinga
2) Mariko anasema saa tatu Yesu yupo msalabani na Yohana anasema saa sita Yesu yupo mahakamani
Ni Yesu yupi saa tatu yupo msalabani na Yesu yupi saa sita bado yupo mahakamani?
Sio unalilia Mimi sijandika Bibilia Mimi nanukuu tu maandiko
Ulikuwa haujui kuwa ni kazi ngumu sana kuutetea ukristo Kwa kutumia maandikoKwa maelezo ya namna hii tutamaliza mada sasa? Kuanza kujibu hayo maswali yako ni kutoka kabisaaaa kwenye point. Isa sio Yesu tubaki hapo.
Tulipoanza hadi hapa hakuna mada yoyote tuliyoianza na kumaliza. Tunasumbuana tu, upo tayari kujadili au upo kiubishani?
Mzeebaba kabla ya kufika habari ya kusulubiwa, Yesu mwenyewe anasema atasulubiwa atakufa na atafufuka. Sasa hiyo haikufanyi uamini? Au hiyo Aya we unaionaje?Ulikuwa haujui kuwa ni kazi ngumu sana kuutetea ukristo Kwa kutumia maandiko
Hoja umeziweka mwenyewe maandiko umeyaweka mwenyewe alafu unapata kigugumizi kujibu maswali
Quran inasema Isa/ Yesu hajasurubiwa tena hata msalabani hajafika
Quran 4:157
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
Quran inasema hao wanaosema Yesu amesurubiwa hawana uhakika juu ya jambo hilo
Hata Bibilia pia inakubali kuwa wandishi hawana uhakika juu ya kusurubiwa Kwa Yesu
Marko anasema saa tatu Yesu yupo msalabani
Marko 15:25
Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.
Marko 15:26
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
Yohana anasema saa sita Yesu bado yupo mahakamani
Yohana 19:13
Basi Pilato, aliposikia maneno hayo, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo Sakafu ya Mawe, au kwa Kiebrania, Gabatha.
Yohana 19:14
Nayo ilikuwa Maandalio ya pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!
Sasa wewe mgalatia unatakiwa ujibu hili swali
Yesu yupi saa tatu yupo msalabani anasurubiwa na Yesu yupi saa sita yupo mahakamani Kwa Pilato
Hauna hoja ukristo Huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda na ndio maana wewe Kila unaporukia unachemkaMzeebaba kabla ya kufika habari ya kusulubiwa, Yesu mwenyewe anasema atasulubiwa atakufa na atafufuka. Sasa hiyo haikufanyi uamini? Au hiyo Aya we unaionaje?
Hakuna mada yoyote inayohusu ukristo na Biblia inanishinda. Ila inapotokea mtu mbishi ambaye hataki kujifunza(wewe) huwa naachana nao. Sijui kwa nini we hadi leo tunajibizana. Maswali mengi ukianza kuangalia tangu mwanzo hujibu unakimbia tu.
Ungetaka kuwa mstaarabu nadhani tungeelewana na tungejifunza mengi. Una maelezo mengi yanayozalisha mambo mengi nje na mada. Kutetea point kwa Aya za Biblia na Quran kwa pamoja hilo jambo sipendi kwa sababu unachanganya utakatifu wa Biblia na ujinga wa mudi....Hauna hoja ukristo Huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda na ndio maana wewe Kila unaporukia unachemka
Wenye akili wanasoma na wanaelewa
Sasa ngoja nikufungue macho kuhusu Yesu Kuna Yesu wawili hapa Duniani
1) Yesu nabii aliyetumwa na Mungu Kwa Wana wa Israel
2) Yesu galasa mliotengenezewa na Wazungu
YESU/ISA NABII ALIYETUMWA NA MUNGU
Nabii Mika alifunuliwa na Mungu kuja Kwa Yesu
Mika 4:2
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Yesu mwenyewe anathibitisha utabiri wake kupitia nabii Mika
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Marko 12:28
Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?
Marko 12:29
Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Nabii Muhammad akaja kupigilia Misumali kuwa Yesu ni mtume Kwa Wana wa Israel
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,
Manabii 3 hao Yani Mika , Yesu mwenyewe na Muhammad wote kauli zao zinafana kuwa Yesu ni mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel
2) YESU GALASA LILILOTENGENEZWA NA WAZUNGU
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Hili ni galasa mliotengenezewa na Wazungu ambalo halikuwahi kuwepo hapa Duniani
Na Hadi Leo hii ukiwachukua wakristo kumi ukiwauliza Yesu ni nani Kila mmoja atatoa jibu lake Yani Kila mmoja atatoa jibu kulingana na jinsi alivyoupokea huo uongo
Wapo watakao Sema
1) Yesu ni mwana wa Mungu
2) Yesu ndio Mungu mkuu
3) Yesu ni Mungu katika Miungu 3
4) Yesu sio Mungu
5) Yesu alitumwa na Mungu aje kufa
Ila chukua waislam Dunia mzima waulize Yesu ni nani jibu ni Moja tu
Yesu ni nabii wa Mungu aliyetumwa Kwa Wana wa Israel
Mimi nimefunga mjadala wewe subiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanamu
Maana Mungu amesha Sema anaweza kusamehe makosa yote ila kosa la kukiabudu kiumbe alichokiumba mwenyewe hilo kosa halina msamaa
Kaka huyo jamaa ndio alivyo, na yote anayojifanya kukosoa hapo nishajadili nae na alijibiwaUngetaka kuwa mstaarabu nadhani tungeelewana na tungejifunza mengi. Una maelezo mengi yanayozalisha mambo mengi nje na mada. Kutetea point kwa Aya za Biblia na Quran kwa pamoja hilo jambo sipendi kwa sababu unachanganya utakatifu wa Biblia na ujinga wa mudi....
Vile unajikita sana kwenye kukosoa Biblia ni wazi kwamba makosa makubwa ya Quran unayaona. Kama huyaoni utakuwa mtu wa ovyo kupitiliza.
Halafu haya maelezo yako ya mwisho kuna mtu alishawahi kuyaleta humu JF, umekopi? Au ni wewe ndo uliyaandika!
Ungekuwa unaweza kujadili mada moja bila kuchanganya mambo nadhani tungejifunza mengi. Jifunze kujifunza.
NI ngumu sana kumuelewesha mtu wa namna hii... hamna kitu tutajifunza maana kila akija anakuja na mada tofauti.Kaka huyo jamaa ndio alivyo, na yote anayojifanya kukosoa hapo nishajadili nae na alijibiwa
Huwa ni mjanja kukwepa anachoulizwa ,anapenda kuchanganya biblia na Quran ,hapo hapo anaikosoa biblia
Ukimbana anajitetea kwa biblia ,ukimrudisha kwa biblia ,anasema biblia haifai imetiwa mikono
Najua huu mjadala wenu angekaa kwenye mstari angeaibika na wengi wangejifunza ,lakini anachofanya ni kukutoa kwenye reli
Yupo hivo Mimi nishamzoea ,mfano hapo anakubadilishia mada kuwa biblia imetiwa mikono akitumia Aya hii yaNI ngumu sana kumuelewesha mtu wa namna hii... hamna kitu tutajifunza maana kila akija anakuja na mada tofauti.
Maswali mengi sana hajajibu, nimeshangaa anasema mitume wote walikuja kwa ajili ya waisrael. Ndo mara ya kwanza nasikia hii. Halafu anaisifia injili aliyoandika Barnaba, sidhani kama ameisoma huyu jamaa. Kwa jinsi anavyoendesha mazungumzo ukiingia kwenye mfumo wake mnaweza kujikuta hammalizi mada hata moja, itakuwa ni kuruka ruka tu.Yupo hivo Mimi nishamzoea ,mfano hapo anakubadilishia mada kuwa biblia imetiwa mikono akitumia Aya hii ya
Yeremia 8:8
Mwasemaje sisi tuna akili na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini tazama kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
Anafanya hivo kukutoa kwenye mada ,ili maswali yako asiyajibu, ili Hali kama kwa ujinga anaofanya mtu mwingine anaweza akamgeuzia kibao vile vile kwa kutumia Quran ,mfano hizi Aya 👇👇
Qur –an 15:91 “Ambao wameifanya Qur an kuwa mkusanyiko wa uongo alioukusanya nabii Muhammad akadai kuwa ni maneno ya Mwenyezi Mungu.”
Qur an 3:78 “ Kuna watu wanaopinda ndimi zao kwa kusoma vitabu ili tufikiri kuwa maneno yao hayo ni ya kitabu cha Mwenyezi Mungu hali hayakutoka kwa Mwenyezi Mungu nao wanamsingizia Mwenyezi Mungu uongo mkubwa……”
Mimi nikusifu umesimama kwenye hoja yako ,
Yupo hivo mm namjua ,anaisifia injili ya barnaba,hajui imeandikwa lini hajui ilivyo na makosa mengi ya kijiografia,na kihistoriaMaswali mengi sana hajajibu, nimeshangaa anasema mitume wote walikuja kwa ajili ya waisrael. Ndo mara ya kwanza nasikia hii. Halafu anaisifia injili aliyoandika Barnaba, sidhani kama ameisoma huyu jamaa. Kwa jinsi anavyoendesha mazungumzo ukiingia kwenye mfumo wake mnaweza kujikuta hammalizi mada hata moja, itakuwa ni kuruka ruka tu.
Nilimaliza hi mada lakini ngoja niweke sawa uongo wako maana unadhidi kujizalilisha na dini yako ya kuunga ungaMaswali mengi sana hajajibu, nimeshangaa anasema mitume wote walikuja kwa ajili ya waisrael. Ndo mara ya kwanza nasikia hii. Halafu anaisifia injili aliyoandika Barnaba, sidhani kama ameisoma huyu jamaa. Kwa jinsi anavyoendesha mazungumzo ukiingia kwenye mfumo wake mnaweza kujikuta hammalizi mada hata moja, itakuwa ni kuruka ruka tu.
1_Yohana tuliyemzungumza ni aliyeandikwa kwenye Biblia, alijazwa roho mtakatifu. Nikakuuliza kujazwa roho mtakatifu ndo uislam? Point ilikuwa watu wote wanazaliwa na dini. Swali ambalo hukujibu ni kwamba ni wapi kwenye Biblia panaonyesha watu wote wanazaliwa wakiwa wamejazwa roho mtakatifu ili niamini wote wanazaliwa na dini?Nilimaliza hi mada lakini ngoja niweke sawa uongo wako maana unadhidi kujizalilisha na dini yako ya kuunga unga
Hakuna swali ambalo sijakujibu labda kama kichwa chako kigumu kuelewa
1) Swali lako la kwanza mtoto anazaliwa bila ya dini
Nikakupa andiko Yohana mbatizaji amejazwa roho mtakatifu tokea akiwa tumboni Kwa mama yake mpaka anazaliwa
Nikakwambia haiwezekani mtu azaliwe na roho mtakatifu alafu awe mpagani
2) Yohana ni dini gani
Nikakwambia Yohana ni Muislam
Na kama wewe unabisha Sema alikuwa na dini gani
Ukashindwa kujibu
3) Manabii wote ni waislam wewe ukapinga
Nikakwambia nitajijie dini ya Ibrahim, Isaka na Yakobo
Ukashindwa kujibu
4) ukasema nikuthibitishie kupitia Bibilia kuwa Ibrahim, Isaka na Yakobo kuwa walikuwa waislam
Nikakwambia Bibilia kimeandikwa Kwa lengo la kuanzisha ukristo hivyo hauwezi kukuta andiko la Moja Kwa Moja kuwa hao ni waislam
Lakini kama unataka tuingie ndani ya Bibilia tuwangalie Ibrahim, Isaka na Yakobo walichokuwa wanakiamini na Matendo Yao ya Ibada kama si ya kiislam
Ukaogopa kufanya hivyo ukarukia mada ya Yesu sio Isa
5) nikakwambia Quran inasema Isa ni
Mtoto wa Mariam
Mimba yake imeingia bila ya baba
Ni mtume Kwa Wana wa Israel
Amepewa kitabu Cha Injili
Alifanya miujiza kama kufufua maiti na kuponyesha vipofu na wenye mbalanga
Sasa weweka na wewe sifa za Yesu tuone kama zinafana au la
6) ukaweka sifa ya kwanza Yesu
Mwana wa Mungu
Kwa sababu sauti ya Mungu ilisikika ikisema huyu ni mwanangu
Mimi nikakuwekea andiko Yesu anasema sauti ya Mungu haijawahi kusikika na mtu yoyote hapa Duniani
Nikakuuliza haya Maneno ya Yesu unayaamini? Haukujibu
7) sifa ya pili Ukasema Yesu amesurubiwa
Nikakuwekea maandiko mawili
Mariko anasema saa tatu Yesu alikuwa yupo msalabani
Yohana anasema saa sita Yesu alikuwa yupo mahakamani Kwa Pilato
Nikakuliza ni Yesu yupi saa tatu yupo msalabani na Yesu yupi saa sita yupo mahakamani
Haukujibu hili swali
8) sifa ya tatu Yesu alibatizwa na Yohana
Nikakwambia Yesu kubatizwa na Yohana sio ishu katika uislam Kwa sababu Yohana alikuwa nabii wa Mungu na alikuwa anafanya unabii wake Kwa kubatiza watu
Yohana aliwabatiza wayahudi wengi sio Yesu peke
Na nikakwambia ubatizo wa Yohana hauna uhusiano wowote na dini ya ukristo
Wewe ndio umeshindwa kujibu maswali sio Mimi
Na sio wewe tu mapadri wote Duniani hawawezi kujibu hayo maswali
Yesu hakuwai kuwepo ,huyo Mariamu hakuwai kuwepo.sasa huyo Issa katokea wapi?Najua kuwa wewe haumini Quran na kama ungeiamini usingekuwa mkristo
YESU NDIO ISA?
Quran 3:45
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
Quran 3:46
Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
Quran 3:47
Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
Quran 3:48
Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili.
Quran 3:49
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini.
Huyo ndio Isa
1) Ni mtoto wa Mariam
2) Mimba yake imeingia bila ya baba
3) Ni mtume Kwa Wana wa Israel
4) Amepewa kitabu Cha Injili
5) Alifanya miujiza kama kufufua maiti kuponyesha vipofu na wenye mbalanga ndani ya Taifa lake la Israel
Haya na wewe weka hapa sifa za Yesu tuone ndio yeye au sio