Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...

Umeweka utaratibu katika kila jambo...

mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...

Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...

Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...

ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...

KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...

LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...

KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...

UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...

Tunafahamu ila hizi sio Mila, Desturi na Tamaduni zetu na wala hatutaki kuwa sehemu yaWakoloni!
 
Mambo ya uislam na MMU ni vipi? Kwani jukwaa la dini hukuliona?!
 
Thread yako ilikuwa na ujumbe mzuri tu...
But kuna maneno makali umeyataja na yanagusa watu na imani zao... Sasa umepoteza maana halisi ya ujumbe wako... Umeongea kihuni kuwakilisha ujumbe wenye maana kwa wanaoona unawafaa..
Ukumbuke serikali haina dini... Na ukute hujawah kuachana na mke ukajua changamoto zake pindi serikali inapoamua kesi ya mali baina ya mke na mume.. Ndo maana serikali inataka ukifunga ndoa msikitini au kanisani lazima upewe cheti cha serikali ili cku ukitaka kujifanya mjanja wanakunasa kiulaaaiiiini... Unless muishie msikintini tu... Ila serikali walivyo wajanja waligundua hilo wakaja na slogan ya 6 months with her, she's your wife.. Hahaaaaa..
Kwa mtazamo wangu ni kuwa Hujawah kuachana na mke.. Hivyo huna haki ya kuzungumza lolote..
 
Bado hamjanishawishi ,hata ungepiga ngoma kutwa nzima bado hutanishawishi kuhusu UISLAM

ONGEA LINGINE
 
Basi kajifunze kusoma mama, usiwe kama Mtume Mudy wa Mecca.

Kule madrassat huwa mnafunzwa kuandika kinyumenyume tu.
Sio kuandika kinyumenyume tu we mama, hata wewe nilikuwa nakivizia nikule kinyumenyume, kama yule mvaa pampers alivyokuwa akiliwa
 
Sio kuandika kinyumenyume tu we mama, hata wewe nilikuwa nakivizia nikule kinyumenyume, kama yule mvaa pampers alivyokuwa akiliwa
Kama wewe umezoea kuliwa kinyumenyume unafikiri ni wote???

Hahahaha.....!

Ila kwa ninyi kuwafanya watu kinyume kinyume haishangazi, mnaita mambo ya pwani sheikh

Mmeiga kwa waarabu

Uf*iraji mnaita sunah

Bora kutunza bikra ya tupu ya mbele ya mwanamke lakini ya nyuma kuondoa ni sunna yakhee.

Hivi Pia Muhammad alimfanya Aisha kinyume?
 
Sio kuandika kinyumenyume tu we mama, hata wewe nilikuwa nakivizia nikule kinyumenyume, kama yule mvaa pampers alivyokuwa akiliwa
Ninyi mwahusudu mambo ya uani sheikh

Sunnah hiyo...!

Halal hiyo sio haram

Hivi pia ina thawab???
 
Back
Top Bottom