Uingereza yaongoza kwa nchi zinazoongoza kwa kukamata watu kwa kutoa comments mbaya mtandaoni

Uingereza yaongoza kwa nchi zinazoongoza kwa kukamata watu kwa kutoa comments mbaya mtandaoni

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Nimeshangaa sana kukutana na list hii.

Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.

Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani

Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?

nations.png
 
View attachment 3482944
Nchi ya giza iko wapi kwenye list?
 
Kuna tofauti kubwa sana ya ukamataji kati ya nchi na nchi

Kuna nchi kama Tz Iran zinakamata kwa kukosoa serikali au viongozi wake

Na kuna nchi kama US Uk wanakamata kwasababu za kiusalama..... Huko hata umtukane Rais na serikali hawana muda na wewe
 
So inaonesha Uingereza kuna matatizo mengi na matishio mengi ya kiusalama kumbe!!

Hakuna sehemu Dunia hii kuna uhuru wa kuzungumza usio na mipaka . Kila sehemu wana mstari wao mwekundu. Kuna nchi unaweza kuvumiliwa kumtukana rais wao au kiongozi wao ila ukizungumzia mambo fulani katika comment zako unajitafutia shida.

Soma hiyo hapo nimeuliza kwenye Google nchi gani ambazo Antisemitism imekuwa criminalized. Kwenye AI overview nikaletewa yafuatayo;

AI Overview
1759823406203.png

1759823406244.png

1759823406277.png

+12

Many countries have laws to criminalize certain aspects of antisemitism, such as Holocaust denial, Nazi symbols, and incitement to hatred or public insult, rather than a single law against all antisemitism. Some countries that criminalize aspects of antisemitism include Germany, Poland, France, Austria, and Belgium, where laws address Holocaust denial, Nazi symbols, and public insults based on religion or ethnicity. Other nations, like the United States and the United Kingdom, use broader anti-discrimination and hate crime legislation to address anti-Semitic acts.

Specific Countries and Their Laws
  • European Union (EU) Countries:
    Many EU members have laws against Holocaust denial and the promotion of Nazi ideology.
    • Germany: Criminalizes incitement to hatred and insults that assault human dignity based on religion, race, or ethnic origin.

    • France: Allows prosecution for public insults based on religion or ethnicity, and has considered designating anti-Zionism as a form of antisemitism.

    • Poland: Punishes public expressions that insult religious groups or persons and prohibits public expressions that insult national, ethnic, or religious affiliations.

    • Austria & Hungary: Have laws that ban Nazi symbols and criminalize the denial of the Holocaust.
  • United States:
    Does not have a federal law against antisemitism itself but has laws covering hate crimes, incitement, and online abuse that can be applied to anti-Semitic incidents.

  • United Kingdom:
    Uses broad anti-discrimination legislation and hate crime laws to address anti-Semitic acts rather than a specific antisemitism law.
How Antisemitism Is Criminalized
  • Hate Speech and Incitement:
    Laws criminalizing hateful or violent speech that targets individuals or groups based on their religion or ethnicity.

  • Denial of the Holocaust:
    Specific legislation banning the denial of the Holocaust, which is considered a form of hate speech in many countries.

  • Prohibition of Nazi Symbols:
    Laws banning the display or promotion of Nazi symbols to prevent the resurgence of Nazi ideology.

  • Hate Crime Legislation:
    General laws that allow for enhanced penalties for crimes motivated by prejudice, including antisemitism.
 
Wakuu,

Nimeshangaa sana kukutana na list hii.

Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.

Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani

Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?

View attachment 3482944
Kumbe Malawi tupo vizuri. Watu wanafanya yao hata kwenye kurasa za Ikulu. Adhabu wanayopewa ni block tu
 
Wakuu,

Nimeshangaa sana kukutana na list hii.

Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.

Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani

Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?

View attachment 3482944
Hawakamatwi kwa kuvunjia milango, kuumizwa na kupotea (Enforced disappearances). Wanapelekwa mahakamani na kama wana kesi na wamehukumiwa wanatozwa faini. Hizo kesi zao za mitaondoni siyo za kisiasa ni zile za kutishia kuua watu, kama walivyofanya kwa yule Charlie Kirk. Kwetu hapa ukimpinga rais kwa anayoyafanya na mwanawe Abdul, usiku haupiti utafuatwa nyumbani kwako na uchukuliwe, Rostam Aziz, na kampuni yake ya Vodacom au Tigo watawapa watawala na askari location yako yote, utakamatwa tu. Na ukipelekwa kwa chura kiziwi wa Kizimkazi adhabu yako itakuwa ni kifo tu, siyo kitu kingine.
 
Huko pia mtu akisema nita andamana anakuwa amemaanisha, akisema nita mshoot mtu anakuwa amemaanisha hivyo kuzuia wanafanya arrest mapema. Huku mtu anaweza jiandikia lakini asimaanishe kile kikundi kikampoteza
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom