mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,572
- 4,257
Huku ndo kwetu ,jitahidi uje hapa Ilagala baada ya Bulombora jkt,ni kweli hizo dawa zipo na zinafanya kazi ulizoziainisha ....ila kuna hivyo vimbegu alivyotaja comrade Jason navyo ni vizuri mnoWatongwe nanyi kwenu si huku..
Kuna dawa nimepewa mwezi mmoja uliopita nikainama..
Aisee ile dawa ni kiboko sijapata kuona, ukiitumia unaharisha mafuta tu! Mafuta yote yaliyomo ndani ndio unayaharisha...nilishangaa sana mara ya kwanza kutumia adi nikawa naogopa nahisi itanitoa utumbo.
Ukipiga bomba 3 unisikia imefika hadi kwenye taya inakua inakereketa. Kwahiyo kila sehemu yenye mafuta inayatoa yote..
Inarekebisha mfumo wa damu, kusafisha mirija ya uzazi na nyonga wakati wa tendo na kutibu ngiri!
Duniani kuna mengi tutembee tujifunze..hasa kuongea na wazee
Nimeitumia mara 3 kesho naitumia pia..
Natamani nikusanye nyingi niondoke nayo maana soon naondoka huku!
Ila huko mikoani hawajui mambo haya.