Hata mimi kwa kweli simulizi ya huyu mtu ndio imenileta huku...Samahani lakini,hivi kwanini hii stori imetolewa kwenye ile thread pendwa na kuanzishwa kama thread inayojitegemea?
Huku chichat binafsi sijawahi kufika ila hii stori imenileta tu.
Simulizi inaendelea jukwaa ulilopendekeza, MAHUSIANO, MAPENZI, URAFIKI (MMU)Mkuu JBourne59 hii stori yako ni nzuri, ni burudishi na yenye mafunzo tele. Kwa sababu ilianzia kwenye jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki, na pia inahusiana na mambo hayo, nilikua nashauri uiweke kwenye jukwaa lile (MMU) ili wadau wengi zaidi wa MMU wafaidi.
Pia itakua ni namna bora zaidi ya kumuenzi rikiboy kwa uzi wake kuzaa simulizi hii mujarab na pia kumuenzi baharia mwanafunzi (yule wa bao 23, ambazo kumbe zote ni offside).
Vinginevyo nimetega macho na masikio kwa ajili ya kujifunza na kuburudika na simulizi hii mwanana...
Nawasilisha.
Kwenye thread ile, msingi wake ulikuwa ni ...KULA .... KIMASIHARA....Samahani lakini,hivi kwanini hii stori imetolewa kwenye ile thread pendwa na kuanzishwa kama thread inayojitegemea?
Huku chichat binafsi sijawahi kufika ila hii stori imenileta tu.
Ubarikiwe na nimekuelewa kiongoziKwenye thread ile, msingi wake ulikuwa ni ...KULA .... KIMASIHARA....
Lakini simulizi inayoendelea haikuwa KIMASIHARA bali kwa kudhamiria haswa!
Karibu MMU, simulizi inaendelea huko.
James Jason
Mkuu JBourne59 nimeitafuta kwa kila namna sijaipata,naomba unitag niweze kuisoma tafadhaliKwenye thread ile, msingi wake ulikuwa ni ...KULA .... KIMASIHARA....
Lakini simulizi inayoendelea haikuwa KIMASIHARA bali kwa kudhamiria haswa!
Karibu MMU, simulizi inaendelea huko.
James Jason
Mkuu JBourne59 nimeitafuta kwa kila namna sijaipata,naomba unitag niweze kuisoma tafadhali
Kuna watu wanajua kuvaa uhusika sana kama Matt Damon, kafanya watu tuamini kua yeye ndio Jason Bourne.
Jeremy Renner alijitahidi kuvaa uhusika wa wa Jason ila watu hatukumuelewa. Ikibidi waandaaji wamrudishie Matt Damon.
NB. Maelezo haya hayana mahusiano na Uzi wa muhisika ila yametokana na ID na Avatar ya mtoa uzi
Matt Damon ndio alicheza kama Jason Bourne kwenye muvi za Bourne Identity,Supremacy nk..
Matt Damon ndio alicheza kama Jason Bourne kwenye muvi za Bourne Identity,Supremacy nk..
J.Bourne ni fictional character ila Matt Damon ndio mwigizaji. Usichanganye M.Damon na Mark Wahlberg aliyecheza Transformer,Lone Survivor nk, hawa watu wanafanana kwa 90% na hawana undugu. Hawa watu hata wazungu wanashundwa kuwatofautisha...nao washakubali kua endapo shabiki akimuona Matt Damon akasema ni Mark..basi Matt inabidi akubali kua yeye ni Mark. Same applies to Matt Damon
Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
UHUSIANO WANGU KIMAPENZI NA HAMIDA Utangulizi. 'Mama watoto' aliridhia mimi kuandika simulizi hii kwa masharti. Moja ya masharti nijitahidi kutoacha mlango / milango wazi itakayoruhusu watu kuunganisha dots... Masharti mengine kwa kuwa ni sehemu ya codes, sintoyaeleza. Hivyo katika simulizi...www.jamiiforums.com
James Jason
Nenda jukwaa la entertainment, story ipo kule inaendelea,utaiona
then jamaa hii mimi naona kama live sababu sehemu anazotaja ni kweli zipo hata watu aliowataja pia ninawafahamu huko Kwao SingidaInaitwa multiplier effect, bila ule uzi kweli huyu jamaa tusinge jua umahiri wake kwenye uandishi picha,
Jamaa ni mwandishi mzuri, halafu mjini hapo yupo kitambo
"James Jason," naomba tu hii isiwe na mwisho wa kusikitisha kama Ile ya Lindi.
Sent using Jamii Forums mobile app