Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,215
- 34,303
Habarini Wadau,
Sikuhizi kumekuwa na tabia flani mbaya sana ya Wamama waliopo katika ndoa kuwakumbatia Watoto na kuwaeleza au kuwaonesha madhaifu ya Baba zao
Nina mifano mingi sana ya aina ya Wamama hao, hasa kama Baba yupo mbali kiutafutaji, Mwanaume anajitahidi kutafuta pesa za matumizi ya familia, ada za Watoto n.k lakini Mama haoni hayo, na Mara nyingine ukimtumia mama pesa kwaajili ya Watoto labda za nguo au ada, anawaambia ni yeye ndiye aliyetoa
Hiki kitu kisaikolojia kinawafanya Watoto tangu wakiwa wadogo waone kama Baba zao hawajali na wanaanza kumchukia Baba mpaka wanakuwa wakubwa, na mbaya zaidi kama Baba anakunywa pombe hata kiasi tu atasemwa vibaya mno
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro juzi kulikuwa na kikao flani cha wazazi (kwa ajenda tofauti) Ila Baba mmoja akaleta hoja hii ya kuwa sikuhizi Wanaume tunasomesha Watoto na kuwasaidia lakini wakipata kazi au biashara huko hawatupigii simu sis hatavkutujulia hali na wakija wanaishia kuonana na mama zao na kuwapa chochote
Hii sumu kwa sehemu kubwa inatengenezwa na Wanawake / Wamama
Wanawake kuweni makini katika ukaribu wenu na Watoto wa kiume kwa wa kike, msiwaseme vibaya Waume zenu mbele ya Watoto.