Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

I
Naona kanivuruga......natamani nimtupie mkasi wa operation usoni........
Suluhisho ni hivi.........kila mtu aamue maamuzi yake binafsi.......mambo ya official ni kwenye barua za kazi......
Swadaktaaa men, women say no to mpenzi mmoja
 
Yani maamuzi na maisha yangu nasubiri mtu anifanyie official? Sasa kama Kero inatupata wote kwanini Suluhisho mfanye nyie tu? Dr Preta hebu nisaidie kumuelewesha
Hahahaaa.raha jipe mwenyewe ati.usiite mamluki bhana!
 
Unamendea vitoto vya watu! Zingatia nasomo kijana starehe utazikuta.
 
Ni sawa na kuwa na miungu miwili, usipokuwa mwaminifu kwa mmoja huwezi kuwa mwaminifu kwa Mungu
 
Ni sawa na kuwa na miungu miwili, usipokuwa mwaminifu kwa mmoja huwezi kuwa mwaminifu kwa Mungu
kuna wanao amini Mungu asipojibu wanaenda.kwa waganga wa kienyeji.kupata msaada kama Mfalme Saul alivyofanya.
 
Kuna rafiki yangu huwa anatumia mfano wa gari. Kutembea bila spare tyre ni muhimu na hswa kama unaenda mbali. Tatizo ni lazima uhakikishe zote zimejaa upepo.
 
Kwa uzoefu wangu usiendekeze ratiba kwenye mapenzi. Kwasababu ratiba inafanya mtu anapanga michepuko ili asigonganishe magari.
 
True....ila.risk ya kukamtwa nayo ni kubwa siku hizi watu wanakagua movement balaa.
 
Back
Top Bottom