Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Kwani kutoka nae hiyo weekend lazima sex???au kuondoa stress had ufanye sex......duh na akisafir mwez je itakuwaje
 
Kwa kweli kuwa na kimwanaune kimoja ni shida vile vile.kama watano hivi kila mmoja na majukumu yake..wewe unataka wanawake wawili..kila mmoja anawatano..kwenye circle mpo kumi na mbili...mmoja akiukwaa wote chaliiiiii....jamaniii epuka kuja kuvaa nepi ukubwani
 
Alichosema mkubwa sawa,kuwa na reserves,maaaana.kitu kimoja wajomba c mchezo,kinachanganya kichwa,lakin mm nakumbuka ninao.watano lakini ikafika siku wote wakanipiga tikitaka
 
Kwani kutoka nae hiyo weekend lazima sex???au kuondoa stress had ufanye sex......duh na akisafir mwez je itakuwaje
hujawahi sikia kitu inaitwa massage? kweli bongo wadada hawajui wajibu.
wao.mwanaume yuko exposed kwenye
ma life stress kibao tabibu ni mwandani wake sasa mwezi veepe??!!
 
Labda mdada anaogopa yasije mkuta ya maziwa napata bure ya nini kufuga ng'ombe nihangaike na majani etc BOB LUSE
 
Kwa kweli kuwa na kimwanaune kimoja ni shida vile vile.kama watano hivi kila mmoja na majukumu yake..wewe unataka wanawake wawili..kila mmoja anawatano..kwenye circle mpo kumi na mbili...mmoja akiukwaa wote chaliiiiii....jamaniii epuka kuja kuvaa nepi ukubwani
watano,hayo majanga.kuwadhibiti huwezi.wawili rahisi kidogo ndio maana kuna wachezaji wa akiba ktk team
 
Na pia kama hafanyi hivyo unamuelekeza taratibu unachotaka kama anakupenda kweli na kipo ndani ya uwezo wake lazima akufanyie ,kuwa na wengi sioni kama ni solution
 
Alichosema mkubwa sawa,kuwa na reserves,maaaana.kitu kimoja wajomba c mchezo,kinachanganya kichwa,lakin mm nakumbuka ninao.watano lakini ikafika siku wote wakanipiga tikitaka
ni kweli mwanangu! siku haya makitu yakigoma moja yote utakosa!.sijajua kuna kuwa na uhusiano gani! tena sababu inaweza kuwa moja,uwanja mchafu!
 
Kwa miaka hii ukiwa na uhusiano wa mwanamke zaid ya mmoja kwa sababu tu ya kuwa na substute kuna hasara kubwa kuliko faida achilia mbali risk ya mmoja wa hao wapenzi kutokuwa muaminifu na kukuangamiza ila hata wewe hutoweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wote..
Mkuu ni mwendo wa kusuuza rungu tuu
 
Kuwa na mmoja haitoshi kabisa, maana kila mara anakurusha. Inakera hadi basi.
 
Mimi ni Muhanga wa hili,,,huwa napigwa shut za mbali sana mwez had mwez sometime miez hata2 mfano toka tumevunja amri6 mwez wa9 2015 mpaka January2016 ndio nikala mzgo tena,, niliona nitafute mchepuko bhana ww nilijuta within one week kaja geto mara4 nilipoteza pesa nyng,,time yangu biashara zangu haziend nafikiria papunch tu iko geto inanisubir,,kuja kufikiria kwa makin ikabid nimpige chin tu maana alikuwa jobless nikuliwa papuch tu,,bora kuwa na demu wa maana yuko bize kuongeza kipato wala usumbufu hana,,utafanya mambo ya maana na yamaendeleo,,,kadir unavyokula mzgo kila siku hata sexual desire inaongezeka more Sex more need,,huyo wa week to week poa tu
 
it is absurd when much brainer comment on no brainer! peole might not notice the different.
afadhali ungeuliza nilimaanisha nini? anyway sio kiingereza unachotumia kila siku,kwa lugha rahisi maanake ulichoandika kiko wazi hakihitaji akili nyingi kuona[kwa maneno mengine nakubaliana na ulichoandika.

Noun
no-brainer ‎(plural no-brainers)

  1. (informal) An easy or obvious conclusion, decision, solution, task, etc.; something requiring little or no thought.
    If the newer version performs as well for half the cost, the decision is a no-brainer.
 
Back
Top Bottom