Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Ukiona ivyo ujue wewe pia ni mchepuko mda mwingi anaspend na bwana Ake anakudanganya yuko kwao, maisha kama karata ujue kuyapangilia ni bora na wewe umepata njia mbadala ya kusolve tatizo
 
Habari hapa Jukwaani.

Leo natoa pongezi kwa Madada poa, Kwangu nawatambua kama "Watoa Huduma za Dharura".

+Kutokana na wanawake wengi kujihusisha na shughuli za Kiuchumi, Penzi linapatikana zaidi siku za Weekend...... Hivyo unapitia kwa hawa kinadada unapunguza wakati unaisuniria weekend.

+Ni msaada mkubwa kwa madomo zege.... Vijana na wazee ambao wanakabiliwa na tatizo la kushindwa kusema, hapa wanapata huduma bila kikwazo.

+Huduma isiyo na usumbufu.... Haina kutoa appointment, haina leo nimebanwa tufanya kesho..... Mkilimalizana kila mmoja anachukua time zake.

+Ni huduma inayopimika.. Unataka dk 10,20 na hata siku nzima... Sio mchepuko unataka ukae nae siku nzima wakati una mambo mengi ya kufanya.

Hizo ni baadhi tu.

Nawalaani wote wanaowapa majina mabaya na ya kudhalilisha.
 
Kuna rafiki yangu huwa anatumia mfano wa gari. Kutembea bila spare tyre ni muhimu na hswa kama unaenda mbali. Tatizo ni lazima uhakikishe zote zimejaa upepo.
kweli mkuu.bila spea unaweza jikuta upo mikumi unang'aa sharubu na wanyama wakali wanakuzengea
 
Kwa uzoefu wangu usiendekeze ratiba kwenye mapenzi. Kwasababu ratiba inafanya mtu anapanga michepuko ili asigonganishe magari.
hata ukishtukiza utaishia kupewa visababu kibao!
 
True....ila.risk ya kukamtwa nayo ni kubwa siku hizi watu wanakagua movement balaa.
mambo ya video phone.unafuatiliwa mpaka kwa bed! hapo sasa hiyo ni jera sio mapenzi!
 
Kama unataka kuongea mwenyewe Barabarani kama Kichaa na Mwanamke Mmoja...
 
Habari hapa Jukwaani.

Leo natoa pongezi kwa Madada poa, Kwangu nawatambua kama "Watoa Huduma za Dharura".

+Kutokana na wanawake wengi kujihusisha na shughuli za Kiuchumi, Penzi linapatikana zaidi siku za Weekend...... Hivyo unapitia kwa hawa kinadada unapunguza wakati unaisuniria weekend.

+Ni msaada mkubwa kwa madomo zege.... Vijana na wazee ambao wanakabiliwa na tatizo la kushindwa kusema, hapa wanapata huduma bila kikwazo.

+Huduma isiyo na usumbufu.... Haina kutoa appointment, haina leo nimebanwa tufanya kesho..... Mkilimalizana kila mmoja anachukua time zake.

+Ni huduma inayopimika.. Unataka dk 10,20 na hata siku nzima... Sio mchepuko unataka ukae nae siku nzima wakati una mambo mengi ya kufanya.

Hizo ni baadhi tu.

Nawalaani wote wanaowapa majina mabaya na ya kudhalilisha.
Duuuuuuuuh! mkuu umetisha, hiyo haina kuombana namba za simu, baada ya tukio kila mtu anachukua hamsini zake.
 
Back
Top Bottom