Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Usiendekeze nyege zinatupeleka pabaya... mwanamke wa week end hadi week end huoni ndiyo mzuri... maana hakuna kufuatana fuatana... mwanamke wa saa yoyote unampata ataku gharimu sana.
kweli mkuu wa kuonana daily ni gharama lakini huyo wa wiki msipoonana hadi wiki nyingine nao mtihani!
 
Kuna msemo wa local language unasema"mwenye mashavu mawili haungui uji"sasa sijui kama kuna mtu ana shavu moja!na sijui kama una akisi hapa.
ukiungua kwenye shavu hili unahamishia upande mwingine! wazee wanabusara!
 
wasio wahanga wa hili jambo hawatakuelewa
nimeona mkuu,wanaona kama naota! lakini huo ndo ukweli mchungu kwa wanaonielewa.hao wengine wako paradise.
 
I greet you all my elders(wakuu)

Walengwa ni wanaume ambao wana uhusiano wa msichana mmoja(sio ndoa)
wanaonana mara moja kwa wiki siku za week end,kama jumamosi/jumapili.

Kuna wadada descent ambao wanaishi
na wazazi au ndugu,upatikanaji wao ni mpaka ramani isome nyumbani,huku kidume umeshajipanga unajua unaenda
Bagamoyo karibu na kwa mstaafu mkale
bata.kisaikojia umeshajiset kupiga mechi
mara mdada anakupa sound,hiyo ni mpaka wiki ijayo ramani isome tena!

Hapo ndio unakuja umuhimu wa plan
B Ili uweze kubadilishia gia angani na kuepuka matatizo ya kupunguza stress
za wiki nzima.kwa hiyo ukikomaa na
dame wa aina hiyo mmoja jiandae kwa
ratiba yako ya week end kuwa messed
up.

usipojipanga vizuri na kuwa na kifaa cha reserve unaweza kujikuta umeangu
kia Sinza Afirika Sana na kujuutia kuwa
mwanaume wa sokoni na kujidhalilisha
PR Yako yote.

hili swala linaweza lisieleweke kwa wasiowahanga wa hii ishu,lakini lipo na ni muhimu kuwa na usajili wa namba mpya kuepuka kuanza week na stress.
pia sio sheria kuwa lazima ufuate. just
my opinion.

Ni hayo tu
Miezi 2 imepita nimeachana na mtu wa sampuli iyo.. ni kero tupu
 
eeeh eti kila weekend bado shiida!! hivi hujaoa halafu unaona kukosa game kwa week ni shiiida???
 
Miezi 2 imepita nimeachana na mtu wa sampuli iyo.. ni kero tupu
Ahsante mkuu,umenielewa kuna vidume wanajifanya wako paradise na mahusiano kama hayo hayapo!
 
eeeh eti kila weekend bado shiida!! hivi hujaoa halafu unaona kukosa game kwa week ni shiiida???
kuna kukosa gemu ukiwa huna.appointment,haina tatizo ni kawaida,lakini mwanaume aki tune akili kula kipapa kisitokee ni.sheedah!
 
Back
Top Bottom