Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Uhusiano wa mwanamke mmoja ni sheedah!

Mimi ni Muhanga wa hili,,,huwa napigwa shut za mbali sana mwez had mwez sometime miez hata2 mfano toka tumevunja amri6 mwez wa9 2015 mpaka January2016 ndio nikala mzgo tena,, niliona nitafute mchepuko bhana ww nilijuta within one week kaja geto mara4 nilipoteza pesa nyng,,time yangu biashara zangu haziend nafikiria papunch tu iko geto inanisubir,,kuja kufikiria kwa makin ikabid nimpige chin tu maana alikuwa jobless nikuliwa papuch tu,,bora kuwa na demu wa maana yuko bize kuongeza kipato wala usumbufu hana,,utafanya mambo ya maana na yamaendeleo,,,kadir unavyokula mzgo kila siku hata sexual desire inaongezeka more Sex more need,,huyo wa week to week poa tu
Bora umeliona hilo
 
ulikosea mkuu! mchepuko hauletwi nyumbani! unatakiwa usubiri taarifa zako.upande wa gharama ni kweli ni hatari kujiingiza mapenzini ikiwa kipato chako hakikuruhusu.tafuta hela kwanza.
 
afadhali ungeuliza nilimaanisha nini? anyway sio kiingereza unachotumia kila siku,kwa lugha rahisi maanake ulichoandika kiko wazi hakihitaji akili nyingi kuona[kwa maneno mengine nakubaliana na ulichoandika.

Noun
no-brainer ‎(plural no-brainers)

  1. (informal) An easy or obvious conclusion, decision, solution, task, etc.; something requiring little or no thought.
    If the newer version performs as well for half the cost, the decision is a no-brainer.
ahsante kwa shule mkuu,pale ilikuwa vigumu kuelewa hayo.umetumia comm 1000.i owe you an apology with my previous rush observation.am addicted with few negative thinker who don't discuss topics just attack the author.
 
Kaka ulichokisema ni ukweli usiopingika,but sasa hivi dunia yetu tunayoishi ndugu yangu imekuwa na magonjwa mengi mm naona bora uwe na mmoja wa mwisho wa mwezi ili mradi kuwepo na uaminifu baina yenu kuliko kuwa na michepuko ya kukusababishia madhara makubwa
 
Dawa ni kutokua na mwanamke mmoja, pia kutokua na mwanaume mmoja
 
kweli wangu.umeongea jambo la maana.mradi huo mwisho wa mwezi uwe na uhakika sio sound.
 
Dawa ni kutokua na mwanamke mmoja, pia kutokua na mwanaume mmoja
acha sera za jino kwa jino?umewahi sikia mwanamke karuhusiwa kuwa na wanaume wawili ndani ya boma moja? acha hizo Evelyn
 
Unaijua polyandry huijui? Sio jino kwa jino ishu ni wote tunapata same changamotos hivo bora tu kutokua na mwanamke na mwanaume mmoja mmoja ni shida kwakweli
 
hiyo kitu sio official hata kama kipo! ukipeleka kuhalalisha popote utakwama! fahari wawili hawakai zizi moja.
 
Yani maamuzi na maisha yangu nasubiri mtu anifanyie official? Sasa kama Kero inatupata wote kwanini Suluhisho mfanye nyie tu? Dr Preta hebu nisaidie kumuelewesha
 
Kwa miaka hii ukiwa na uhusiano wa mwanamke zaid ya mmoja kwa sababu tu ya kuwa na substute kuna hasara kubwa kuliko faida achilia mbali risk ya mmoja wa hao wapenzi kutokuwa muaminifu na kukuangamiza ila hata wewe hutoweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wote..
Hapana , kuwa na mapenzi ya dhati inawezekana tu kama kawaida kwa yule unayempenda.
 
Yani maamuzi na maisha yangu nasubiri mtu anifanyie official? Sasa kama Kero inatupata wote kwanini Suluhisho mfanye nyie tu? Dr Preta hebu nisaidie kumuelewesha

Naona kanivuruga......natamani nimtupie mkasi wa operation usoni........
Suluhisho ni hivi.........kila mtu aamue maamuzi yake binafsi.......mambo ya official ni kwenye barua za kazi......
 
Back
Top Bottom