Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Amina!
Acha kupotosha watu na Nadharia za uongo. Utafiti wa mapepo umeufanya wapi na kwa namna gani. Umeongea na mapepo mangapi yakakwambia kuwa yanakula uchafu unaotoka huko tigoni. Na kama yanakula huo uchafu kwa nini yasiende vyooni ambako unapatikana kwa wingi hadi wavizie watu wakila tigo? Umeandika upuuzi mtupu na hii thread ni bora ifutwe tu
Arusha wapo. Lkn si waengi, Kwenye maeneo niliyoyataja Dar wanaongoza kwa vitendo hivyo.

Chief, umekosea bana. Arusha hakuna vitendo hivyo vya kifedhuli. Watu wa Arusha hatu-support wala kujihusisha na vitendo vya kishoga. Futa kauli tafadhali.
Sijawahi kuwaona wanaojihusisha na hiyo michezo. Na huyu jamaa hajatoa ushahidi wowote.Inawezekana Arusha hata machangudoa na mashoga hawapo aisee😕
Sijawahi kuwaona wanaojihusisha na hiyo michezo. Na huyu jamaa hajatoa ushahidi wowote.
Unajua kuna watu na viatu. Watu huweza kutofautisha ukweli na uzushi, lakinj viatu huzoa kila kitu. Siyo kwamba nashabikia vitendo hivyo lakini, argument zake anazotumia ndo hazina mashiko. Tusipokemea hii tabia ya mtu kuja na kudai kafanya utafiti...utafiti gani amefanya. Atuambie alivyo fanya utafiti na kufika hiyo conclusion. Tusiwe jamii ya kuzusha tu mambo bila kuwa na ufahamu juu yakekutokiamini kitu usicho kijua ni moja ya ufahamu mkubwa ulojaliwa.lakini kubisha kwa kitu usicho kijua na tena hakina effect kwako...inakua ujafanya sahihi.kama kitu ukijui nivema ukawaachia wanao fahamu waelimishane. mleta mada haja kuamlu uamini kitu icho kipo.
Unajua kuna watu na viatu. Watu huweza kutofautisha ukweli na uzushi, lakinj viatu huzoa kila kitu. Siyo kwamba nashabikia vitendo hivyo lakini, argument zake anazotumia ndo hazina mashiko. Tusipokemea hii tabia ya mtu kuja na kudai kafanya utafiti...utafiti gani amefanya. Atuambie alivyo fanya utafiti na kufika hiyo conclusion. Tusiwe jamii ya kuzusha tu mambo bila kuwa na ufahamu juu yake
Unasema hivyo kwa kuwa hujui.
Pole maana imekugusa.
Hakuna kitu kinachoitwa mapepo, huko ni kujiaminisha uongo.
Watu wanafanya kwa akili zao wenyewe.
Chief, umekosea bana. Arusha hakuna vitendo hivyo vya kifedhuli. Watu wa Arusha hatu-support wala kujihusisha na vitendo vya kishoga. Futa kauli tafadhali.
Nilichokiona ni kwamba mleta mada kawa shallow kuliko kiu yetu.Unajua kuna watu na viatu. Watu huweza kutofautisha ukweli na uzushi, lakinj viatu huzoa kila kitu. Siyo kwamba nashabikia vitendo hivyo lakini, argument zake anazotumia ndo hazina mashiko. Tusipokemea hii tabia ya mtu kuja na kudai kafanya utafiti...utafiti gani amefanya. Atuambie alivyo fanya utafiti na kufika hiyo conclusion. Tusiwe jamii ya kuzusha tu mambo bila kuwa na ufahamu juu yake