Uhusiano wa Lowassa na Kikwete na hatma ya CCM

Uhusiano wa Lowassa na Kikwete na hatma ya CCM

Wadau naandika makala juu ya Uhusiano wa Lowasa,kikwete na hatma ya CCM.

Naomba mawazo jinsi ya kuweka kichwa cha habari!
Ni hilo tu!
Mkuu ungeweka kichwa chako tu kinatosha.
 
Novemba 10, 2012.
Habari imeandikwa na Danson Kaijage, Dodoma via-TanzaniaDaima
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaanza mkutano wake mkuu leo mjini Dodoma, vita ya makundi ya urais 2015, imeshika kasi kwa makada wake kutajana hadharani kuhusika kusambaza vipeperushi vyakutaka kumhujumu nakumng’oaMwenyekitiwa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete.
Makundi yaliyoingia katika mzozo huo, moja linadaiwa kuwa la wafuasiwa Mbungewa Monduli, Edward Lowassa na lingine la Waziriwa Mambo ya Nje na Ushirikianowa Kimataifa, Bernad Membe, kila moja likitaka kuwa karibu na Rais Kikwete.
Hatua ya makadawa makundi hayo yaCCM kutajana na kushutumiana hadharanikutaka kumhujumumwenyekiti waowa taifa, imekuja siku chache baada ya hivi karibuni gazeti hili kufichua uasi huo, ili wajumbewa mkutano mkuu wampigie kura za maruhani kuonyesha kutokuwa na imani nae.

Kuna connection haiko vizuri,mpango unaoongelewa wa mapinduzi ni 2012.Lakini mwanzo ulisema Lowasa alitaka aongoze muhula wa pili.
Na ingekuwa hivyo,mapinduzi ya mwenyekiti yalipaswa kufanyika 2009.
 
Wadau naandika makala juu ya Uhusiano wa Lowasa,kikwete na hatma ya CCM.

Naomba mawazo jinsi ya kuweka kichwa cha habari!
Ni hilo tu!

wote wawili ndio wamiliki wa richmond ndio mana wanatishiana nyau,hawatajani moja kwa moja wanatajana kimtindo,mmoja anasema niliagizwa na mamlaka ya juu muungine anasema mwenye richmond ni yule anaezunguka mikoani na tundu lissu!
 
kuhusu mapinduzi ya kumng'oa jk umwenyekiti,kila mtu aliona kwenye tv manuva yaliyotokea hadi njama zikajifia,au haukufuatilia,kuna nyuzi humu za kipindi hicho,tuliongelea..
tatizo jf sijui archieve yao iko wapi
Hii ya kumpindua JK uenyekiti ilikuwa haina ukweli wowote. Ilikuwa ni mbinu za kumchonganisha Lowassa kwa JK.

Kuna mwanaCCM yoyote alishawi kusema hana imani na JK hadharani?
 
Back
Top Bottom