kicha cha habari niNashukuru kwa taarifa,naomba kichwa cha habari!
Watanzania wengi hawajui ugomvi wa lowassa na kikwete ulipoanzia.
wadau naandika makala juu ya uhusiano wa lowasa,kikwete na hatma ya ccm.
Naomba mawazo jinsi ya kuweka kichwa cha habari!
Ni hilo tu!
Kichwa cha habari kinyoe wewe mwenyewe kwa sababu unaujua huo undani wa mahusiano kati ya lowassa na kikwete.Wadau naandika makala juu ya Uhusiano wa Lowasa,kikwete na hatma ya CCM.
Naomba mawazo jinsi ya kuweka kichwa cha habari!
Ni hilo tu!
Kichwa cha habari kinyoe wewe mwenyewe kwa sababu unaujua huo undani wa mahusiano kati ya lowassa na kikwete.
lowassa alishamwaga jk kitambo tangu agundue jamaa ni snitch, hadi leo hii daily jk huwa anamtafuta el kwa simu ila el huwa anazipotezea!