mh,,,,si miezi miwili tu iliyopita lowasa amedai jk ni rafiki yake hata wakati jk alikua anasema wazi kuwa chama kitawakata mafisadi?
.lowasa huyuhuyu si ndo alikua akifanya juu chini kupiga picha na jk????.
ukweli ni kuwa hadi lowasa anajiudhuru uwaziri mkuu,hawa jamaa walikua bado marafiki.
tatizo likaja kwenye mkutano mkuu wa ccm wakati lowasa alipotaka kumpindua jk kutoka nafasi ya mwenyekiti wa chama..
hapo ndo jk alipoanza kujiweka mbali na lowasa
Ugomvi Wa Lowassa Na Kikwete Ulianza Pale Lowassa Alipoteuliwa Tu Kuwa Pm Akaanza Kuwadanganya Kila Masha, Nchimbi, Na Wakuu Wa Mikoa Kuwa Ndo Kawapgia Chapuo Kupata Nafasi Hzo Maana Kikwete Alikuwa Kagoma, Kumbe Ni Muhongo, L Akauchuna Akamsubiria Kummaliza Na Kammalza Kweli, Kichwa Kiwe Hivi (i Might Be Wearing A Smile But Firm On Serious Issues About Pm)
jk alirudi katika misingi na akaweka urafiki kando...
haiwezekani urais uwe wa kugawiana kirafiki,kwamba anza wewe halafu utaniachia...
Nadhani si kweli mkuu. Mimi nijuavyo ni kwamba EL na kundi lake ndo walimsaidia Kikwete kuingia madarakani kwa kutumia pesa zao na nyingine kuzikopa nje ya nchi, (ambazo hadi leo hazijalipwa). Alimsaidia kwa makubaliano ya kumpa u- PM na kugawana vipindi vya utawala (uraisi).
JK alivyomaliza awamu ya kwanza ya miaka 5 EL akataka aachiwe na hii ishu ilileta mzozo sana kama unakumbuka( yaani EL alitakaa JK aongoze kwa kipindi kimoja tu). JK alivyokataa kung'oka akaonekana msaliti na ndo bifu likaanzia hapo.
Kichwa cha habari chafaa kiwe UNAFIKI ULIVYOVUNJA URAFIKI WA LOWASSA NA JK.
Sababu Lowassa alimpenda,kumuamini na kujitolea kumsaidia rafiki yake lakini rafiki akamtenda na kumdhalilisha.
Lakini Mungu mkubwa,leo hii Lowassa anaonekana shujaa na mfano wa kuigwa tofauti na mwenzie.
heading iwe hivi: "Kinachomtesa Lowassa ni ukarimu wake kwa JK" au "Lowassa anajuta kwa kumsaidia JK kuupata Urais" au "Urafiki wa wawili unapogeuka kuwa uadui na kuwa vita ya kitaifa-Kikwete & Lowassa"

lowasa alihisi kuwa baadae jk hatakuja kumuunga yeye mkono ili apitishwe na ccm kugombea urais,na tatizo kubwa liikua hiyo scandal ya richmond,,,,,sasalikamwijia wazo kuwa kama ataengineer jk asiweze kuendelea na umwenyekiti wa chama,anaweza yeye kuwa mwenyekiti na hivyo itakuwa rahisi kwake kupitishwa kugombea urais....
ndo ulipofika uchaguzi mkuu wa ccm,akataka kuanzisha harakati za kumng'oa jk katika nafasi ya chama.
kama jk na kina Ana makinda ,wasingundua janja na kuweka kura za wazi ,lowasa sasa ndo angekuwa chairman na pia mgombea urais kupitia CCM.
mie kila siku hujiuliza,hii manenp kuwa lowasa alimsaidia jk kupata urais huwa inatoka wapi....
nachokumbuka hawa jamaa wawili mwaka 95 walikodi ndege pamoja kwenda kuchukua form za urais....
lowasa akakataliwa na kambarage kuwa hafai.
jk akaambiwa bado umri mdogo asubiri.
jk kasubiri kwa miaka kumi mpaka 2005 ndo kagombea,sikumbuki kama mwaka huo lowasa alichukua form,lakini kama alichukua itakuwa alikatwa mapema.
katika mchuano jk akapita,nakumbuka kipindi hicho kikwete alikua na uungwaji mkono sana tu ,na wala kampeni zake hazikuwa za kulazimisha kwa mapesa,alikua anapambana na kina mbowe,lipumba na mapesa,wote hao alikuwa kawaacha mbali mno.
sasa huwa najiuliza,huo msaada wa lowasa kwa jk ni upi huo,mbona huwa hauwekwi wazi???
Ugomvi Wa Lowassa Na Kikwete Ulianza Pale Lowassa Alipoteuliwa Tu Kuwa Pm Akaanza Kuwadanganya Kila Masha, Nchimbi, Na Wakuu Wa Mikoa Kuwa Ndo Kawapgia Chapuo Kupata Nafasi Hzo Maana Kikwete Alikuwa Kagoma, Kumbe Ni Muhongo, L Akauchuna Akamsubiria Kummaliza Na Kammalza Kweli, Kichwa Kiwe Hivi (i Might Be Wearing A Smile But Firm On Serious Issues About Pm)
jk alirudi katika misingi na akaweka urafiki kando...
haiwezekani urais uwe wa kugawiana kirafiki,kwamba anza wewe halafu utaniachia...
Duh nchimbi ana akili kuliko jk na anamjua unafiki wake..na jk alivyokataa kumpa magufuli uwaziri.mpaka kulazimishwa jeee..magufuli unakumbuka ulivyokuwa unakunywa wine km maji pale dom kwako mpaka ulivyopigiwa umeteuliwa hukuamini...sasa kwa siasa unazozipiga majukwaani naamini kisasi bado kipo au vipiii
Watanzania wengi hawajui ugomvi wa lowass
a na kikwete
Asili ya mswahili ni kusaidiwa ila kamwe mswahili hawez kikusaidia hata km unakufa njaa
Huna haja ya kujiuliza kwann kikwete alijiweka mbal na lowasa..wakat ni lowasa ndiye aliyempeleka ikulu
Lowasa si mtu wa tamaa km kikwete ...almvumilia mambo mabaya meng lkn ameendelea kuwa na roho mbaya kwa lowasa mpaka leo
Watanzania wengi hawajui ugomvi wa lowass
a na kikwete
Asili ya mswahili ni kusaidiwa ila kamwe mswahili hawez kikusaidia hata km unakufa njaa
Huna haja ya kujiuliza kwann kikwete alijiweka mbal na lowasa..wakat ni lowasa ndiye aliyempeleka ikulu
Lowasa si mtu wa tamaa km kikwete ...almvumilia mambo mabaya meng lkn ameendelea kuwa na roho mbaya kwa kikwete mpaka leo
Elungata ameuliza humu,Lowasa alimpelekaje Kikwete Ikulu.Naona unaweza kutupa mwanga zaidi kwenye hili!