Uhusiano usio na dosari.

mr vata

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
462
605
Sio kwamba nataka uhusiano usio na dosari, nafahamu kuwa hilo haliwezekani. Nataka mtu ninayeweza kumuamini na ambaye hatakua akinidanganya kimwili au kihisia.
Kila mtu anahitaji mtu ambaye anampenda kabisa na ambaye hatacheza mchezo na moyo wake.

Mwisho kabisa, mimi ni muumini thabiti kwamba linapokuja suala la uhusiano, kubaki muaminifu sio chaguo bali ni kipaumbele.... Uaminifu unamaanisha ulimwengu!
 
Hukutaja umri broo, au unataka warushe jiwe gizani?
 
Back
Top Bottom