Uhusiano wa kuoa na uchumi

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Jamani wana jf! Kuna uhusiano wowote katika suala zima la kuoa na suala zima la hali ya muoaji ya kiuchumi?

Ni muhimu saaana kua fit kifedha (sio kwamba ziwe nyiiingi - uwe na uwezo wa kuendesha maisha yako uweze kumudu vitu basics kama chakula, malazi na mahitaji mhimu)... thou siku za mwanzo huonekana ka vile Mapenzi ndio mwisho wa maamuzi hayo but hata uwezo wako wa kuendesha maisha ni mhimu...

Vizuri uwe una uwezo wa kujitegemea sio unaoa halafu unaenda kukaa kwenu.

Uhusiano upo mkubwa tu, ila si lazima u angalie uhusiano huo wakati wa kuoa

Ni muhimu ukiweza kumudu mahitaji muhimu ya nyumbani kama chakula,malazi,mavazi na maendeleo mengine hii huongeza Amani na utulivu kwenye nyumba.

we unfikiri kuoa ni mchezo...ukikurupuka lazima mtaani wakupe majina maana utatia aibu...

ni kichekesho kama mwanaume unataka kuoa halafu huna hela...i guarantee you hyo ndoa haitadumu...

Ni muhimu sana uwe a mkwanja wa kutosha, la sivyo utaachwa kwenye mataa lol

ni kichekesho kama mwanaume unataka kuoa halafu huna hela...i guarantee you hyo ndoa haitadumu...
Jamani mbona mnapotoshana kwa makusudi hapa? ingekuwa hivyo basi msukums torori asingeowa, hapa lazima tukubali binadamu duniani hatuko sawa, bali usawa upo kwa mungu, sasa hata unapotaka kuoa ni lazima ujijuwe wewe ni wa category gani, haiwezekani unataka kumuowa Miss Tanzania halafu unafanya kibaruwa kwa muhindi mshahara laki na nusu, hapa ni kujitafutia shida wewe mwenyewe.
Jana tulisema hapa wanawake waalimu ndio good match ya kuoa kama kauwezo kako ni kakubeep, maana waalimu wana upendo wa asili na wanavumilia sana mazingira magumu.
Sasa wewe unamtaka Lizzy, bill inaanzia kwenye Blackberry subscriber per mounth 30,000= internet bundle ya laptop 2 GB per month, hapo bado saloon.

huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you

Vizuri uwe una uwezo wa kujitegemea sio unaoa halafu unaenda kukaa kwenu.

hii imenikumbusha jamaa yangu m1 alioa aafu akawa anaishi na kula kwa mama yake pamoja na mke,baadaye mke alisepa

huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you
Endelea kuidanganya nafsi yako,..................... wewe unaishi dunia ya kusadikika na sio hii tuliopo leo.

Jamani mbona mnapotoshana kwa makusudi hapa? ingekuwa hivyo basi msukums torori asingeowa, hapa lazima tukubali binadamu duniani hatuko sawa, bali usawa upo kwa mungu, sasa hata unapotaka kuoa ni lazima ujijuwe wewe ni wa category gani, haiwezekani unataka kumuowa Miss Tanzania halafu unafanya kibaruwa kwa muhindi mshahara laki na nusu, hapa ni kujitafutia shida wewe mwenyewe.
Jana tulisema hapa wanawake waalimu ndio good match ya kuoa kama kauwezo kako ni kakubeep, maana waalimu wana upendo wa asili na wanavumilia sana mazingira magumu.
Sasa wewe unamtaka Lizzy, bill inaanzia kwenye Blackberry subscriber per mounth 30,000= internet bundle ya laptop 2 GB per month, hapo bado saloon.

Matola bana...
Kwani hivyo vitu ntakua naanza kuvitumia baada ya kuolewa?! Kama nlikua naweza kuvilipia mwenyewe kabla basi uwezo wa kuendelea kufanya hivyo ntakua nao hivyo sina haja ya kumtegemea huyo mtarajiwa anifanyie..au nimkimbie sababu tu uwezo huo hana kwa wakati ule.

Kuwa na uchumi unaoleweka ni kitu kizuri ili stress za kodi na tutakula nini zisiwe juu sana maana hiyo yaweza sababisha mfarakano kwenye ndoa. Ila sio lazima mwanaume ndo awe mambo safi...anaweza akawa anafanya kazi ya kawaida sana ila kwa malengo ya kuendelea mbeleni...na kama mwenzake anaweza kurahisisha maisha untill then basi anaweza kuoa. Na kama una mawazo ya “mwanaume halelewi bwana“ jiulize mkifunga ndoa wewe mwanaume ukiwa na pesa alafu baada ya muda mambo yakakuendea kombo huku mkeo akiwa bado anajiweza je akuache?!Au wewe utataka kumuacha ili asikulelee?!
Kusaidiana kupo iwe mwanzo au baadae sana katika ndoa...oeni watu wanaoweza kuhimili mabadiliko ili msije JF kulalamika mnavyodharauliwa/mkeo anavyotembea nje sababu mambo ya pesa hayakuendei vizuri kama mwanzo.

huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you

Asante!!

Wanaotakiwa kuoana ni mtu na mtu na sio mtu na pesa!!Acha watu waendelee kulia kwa kuoa/olewa kwa kuangalia pochi!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom