Uhusiano Wa Kufulia na kiki mfu za Diamond

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufulia kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!

Nawasilisha!
 
Umefuria wewe ndungu kwakua gepu lako n lake. Hatare sanaaaaa. Ktk jamii n maisha tu
 
Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufuria kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!

Nawasilisha!
Umri wangu Na hii post haviendani kwa kweli wacha nipite
 
wenzake kina davido ,tecno wapo bampa to bampa wanatoa vyombo vya hatare daily yeye yupo busy na mke wa mtu.
Kwani tz msanii ni mmoja tu c kuna wasanii kibao tu au asipotoa domo basi bongoflava kwushiney.....watoe hawo wengne yeye mwacheni atafute kiki maana ndo alichobakiza.....hii itawapa nafasi wasanii wengne kujulikana
 
MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...
 
Dogo sijui kwa nini hajiamini alafu alivyo mwehu baada ya kuona maji ya shingo amefuta post then ka-post wako wote hapo ndio utajua muziki umekua mgumu heeee heeee kutoa ngoma bila kiki ni zoezi.
 
Kosa analofanya ni kurekodi ktk studio zake...anashindwa kuiba ngoma za wengine...ataiba kijuso?
 
Back
Top Bottom