Uhusiano wa jina na mapenzi

Uhusiano wa jina na mapenzi

kuna ka ukweli ishanitokea kwa kina.
rose.

happy.

neema.

rehema.

monicca.

wapo wengi tu ila kwa hao ni sample.
 
hawa kina Irene, Jacqline, Neema... yani ayo majina matatu kila moja limejirudia kama mara tatu tatu hiiivi mpaka nikikutanaga na demu mwenye jina kati ya hayo matatu nachekaga tu kwa sababu na imani tu atavutiwa na mimi halafu nikiwatongozaga hawakatizi yan lazma aingie line
 
Jina langu siwezi lipata humu!!!!
Yaani jina limeundwa na wazazi... Ko sisi ndo hatuna match zetu ama?
 
Mimi jina langu Sikitu mbona sipo kwenye list jamani?
Jina lako mitaani kwetu ni wachache hivyo inakuwa ngumu watu kupata wa jina hilo na kupata uthibitisho

Aisee nime*** pendo kibao hadi nmechoka khaaa
Pendo jina limejitokeza kwa wengi inaonekana hawa jina lao la pendo(love) linafanya wawe wanapenda sana

Kwa mimi wanaonizimikia ni akina neema rehema merry na jack
Jina la Jack na Neema linaonekana limejitokeza mara nyingi kuna kitu hawa watu itabidi tufuatilie maana ya majina yao
Jina langu siwezi lipata humu!!!!
Yaani jina limeundwa na wazazi... Ko sisi ndo hatuna match zetu ama?
Jina lako ni adimu ila muunganiko wa jina lako ambao utakuwa na maana fulani kutakuwa kuna watu wenye bahati na jina hilo.
 
Mimi kwangu ni makabila tu siyo jina la mtu. Sina aleji na mkinga, mbena, mhehe, mnyaki, msafwa na msukuma.
Mengine kama waha, wabende, wahaya na wengineo naona itakuwa kama kufosi tu.
Big up kwa makabila tajwa hapo juu mbarikiwe siku zote daima.
Yaani kama wafipa wenzangu ndo nawaona kama dada zangu kabisa wa kuzaliwa pamoja.
 
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom