Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Huku kwetu pia kuna akina Happy wengi mno njoo uwachukueAisee Mimi ni akina Happy yaaani toka o level mpaka chuo nme date na happy wanne
Huku kwetu pia kuna akina Happy wengi mno njoo uwachukueAisee Mimi ni akina Happy yaaani toka o level mpaka chuo nme date na happy wanne
[emoji23] wafipa oyeeMimi kwangu ni makabila tu siyo jina la mtu. Sina aleji na mkinga, mbena, mhehe, mnyaki, msafwa na msukuma.
Mengine kama waha, wabende, wahaya na wengineo naona itakuwa kama kufosi tu.
Big up kwa makabila tajwa hapo juu mbarikiwe siku zote daima.
Yaani kama wafipa wenzangu ndo nawaona kama dada zangu kabisa wa kuzaliwa pamoja.
Mi hao huwa nawapata ki ulaini ila kina salma wananipa tabu sanamm akina merry huwa wananisumbua sana,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtaonekana tu maana tunalitafsiri kwa kiswahili then tunalipeleka kwenye kiingereza.
Hapo sasa ila watakuja wataalamu watatoa tafsri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya jina langu NYANSUMA nitafsirie
NasubiriHapo sasa ila watakuja wataalamu watatoa tafsri
HahahaMtaonekana tu maana tunalitafsiri kwa kiswahili then tunalipeleka kwenye kiingereza.
Ngoja nifanye research nione ila umeona picha juu hapo ? Hiyo ina asilimia kubwa sana nimegunduaNachojua Mimi kuna uhusiano mkubwA herufi za majina kuendana na mapenz ya kwl MF Helen na hesbone,maulid mariam,zarina na nasibu yaan MTU unayedate naye herufi zenu za majina ziendane kama natania Fanya karesearch kadogo kwa marafik na ubavu zao sio mahawar..