Simaro ameeleza kuhusu hawa watu wawili. Mobutu alikuwa fanatik (shabiki) wa Franco na OK Jazz hivyo alipopata uraisi aliendelea kutumia fursa hiyo na sherehe zake nyingi alitumbuizwa na Franco. Franco nae alitumia fursa hiyo ipasavyo. Ni kweli pia bendi nyingi zilipata fursa kama hiyo lakini OK Jazz walikuwa mbele zaidi.Ninachokiona hapa kwenye bandko lako Mkuu,Franco alikuwa akicheza na akili za Mobutu Seseseko Wa Nzabanga na alifanikiwa!
Siongo Bavon Marie Marie alifariki 1970. Alipata ajali baada ya kuto kuelewana na Kaka yake. Kwa uhakika wa kifo cha huyu bwana muulizeni Papa Chimanga Assosa wa Bana Marquiz (rafiki yake marehemu Bavon) mwanamuziki wa Zamani wa Negro Success kupitia RTD FM kipindi cha Kavasha Time yuko kila Jumamosi na Mtangazaji Nguli Mbazigwa Hassan. Hapo pia utapata taarifa nyingi na muziki wa zamani wa DRC. Si kweli kwamba Bavon alitaka kujiua.Franco alikuwa rafiki wa Mobutu lkn walikuwa wanakosana na kupatana
pia kuna kisa kimoja mwaka 1973 Franco na mdg wake walikuwa wanagombnia demu sasa mdg wa Franco akaamua kusafiri na huyo demu ktk gari mdg wa franco akaamua kuangusha gari maksud ili wafe wote lkn huyo demu alivunjka mguu ila Jamaa akafariki
Watu wanamlengesha Mpongo Love kwa OK Jazz- nijuavyo hakuwa mwanamuziki wa OK Jazz bali alikuwa na uhusiano mkubwa na bendi hiyo. Le Professor Empopo Deyes Loway (Saxaphonist OK Jazz) ndo alikuwa mentor mkubwa wa Mpongo Love. Alishirikiana na Mayaula Mayoni (Ndaya), Simaro Lutumba. Kwenye album yake moja back up voice ilikuwa ya Wuta Mayi (OK Jazz).Franco alipata ukimwi miaka ya 1980's na hawara yake alikuwa mwanamuzk ktk bendi ya okk jazz alieitwa mpongo love
Mwimbaji aliyekaa muda mfupi ni Jollie Detta : massulabda umesahau,hebu fwatilia historia ya mpongo love,mwaka 1977 Franco alimsajili mpongo ktk band alikaa miaka miwili okk jazz,hata wimbo wake "ndaya"aliutunga kwa msaada wa Franco,hebu fwatilia
mpongo love alifariki 1994
Jollie Detta yupo kaokoka,Naifagiliaga hiyo Massu iliimbwa na Mdada mmoja hv Jollie Detta ila na yeye maskini nasikia alikufa na "Malade SIDA"
Ni kweli akiwa mdogo uliugua ugonjwa wa polio ndo sababu ya ulemavu huo.Kuna sehemu nimesoma wanasema alikua ni kilema,wikipedia pia wanasema hivo ,sijui ni ukilema upi
The greatest musician to ever live in africa,,,and the president of the then zaire (drc)Who are they???
Kuhusu huo wimbo uko sahihi kabisa ulitungwa na Mayaula lakini ulipigwa na Tp OK jazz.M'pongo Love hajawahi kuimbia O.K. Jazz, ubishi wa nini? Ndaya ni wimbo wa Mayaula Mayoni, aliutunga na kumpa Mpongo aimbe katika bendi yake (bendi ya M'pongo).
Mpongo Love aliimbia Tp OK Jazznarudia tena soma history mpongo aliimba OK jazz mwaka 1977 ubishi wa nn? som history ya okk jaz kwanza alaf rudi
Tabu Ley Rochereau alianza muziki African Jazz ambako alikutana na Dr Nico, Dechaud Mwamba kaka wa Dr Nico na Tino Baroza (Mjomba wa Dr Nico). Walipomkimbia Grand Kalle ndo wakaanzisha African Fiesta, walipotengana na Dr Nico ,Ley akunda African Fiesta Le People baadae akaiita Afrisa International na Dr Nico akaja na African Fiesta Sukisa. Ley hajawahi kuwa mwana OK Jazz.Nijuavyo Tabu ley alikuwa akishirikiana na Dr Nico Kasanda wakiwa na bendi ijulikanayo African Fiesta kabla ya Tabu ley kujitenga na kuanzisha Afrisa international
Ukumbuke kuna Ndaya ya OK Jazz ambayo ni tofauti na ile ya Mpongo Love.Kuhusu huo wimbo uko sahihi kabisa ulitungwa na Mayaula lakini ulipigwa na Tp OK jazz.
Sawa mkuu
Jo Sex , Le Commandant de Bord Josky Kiambukuta alizaliwa 1949 na kuanza muziki 1969 African Fiesta Sukisa chini ya Dr Nico, alipotoka hapo akafadhiliwa kuanzisha L'Orchestre Continental na 1973 akaingia TP OK Jazz alikopelekwa na Simaro (mwenyewe alitaka kwenda kwa Tabu Ley). OK Jazz ilianzishwa 1956 Franco akiwa 18.Vipi Josky Kiambukuta, yeye hakuwa generation ya Franco. Kuna wimbo niliona kaimba na madilu alikuwepo ndani unaitwa kitu kama 'Chandra'