luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,928
umetishaaaa hii ndio ladha ya jfThe lingala word ngungi means fly in english, but here in this song it means gossipers.
The song tells the story of how gossiper annoy people.
Translation of the intro
Nazoki molangi eh
(I am wounded by a glass)
Nga mwana maman
(I am telling you)
Na pesa nzoto nanga na Nzambe
(I have given by body to God)
Mosolo nako liaka se na nzembo
(I feed myself through music)
Mopepe nga nako pemaka oyo ya bato nyoso
(I breathe the same air as everyone else)
Mosuni ya nzoto naga suka ya elengi
(My flesh is sweet to (the flies), or people love talking about me)
Moto nyoso ako luka kaka a gouter maman
(Everyone want to taste it)
Luambo eh eh
(Luambo eh)
Po na nini mosuni ya nzoto ya mwana ya moto
(Why is it that someone’s flesh)
Bo lingi bo lia yango lokolo mosuni nde ya nyama
(You want to eat it like meat from an animal)
Boko kende na yango wapi na Kinshasa oyo
(Where are you going to take it in Kinshasa)
Bo tika asala, asala a koba
(Let him work, work and carry on working)
Bo lingi nini na nzoto naye bandeko
(What do you want from him?)
Ley, yamba nalembi bato oyo eh Ley
(Sing, Ley, I am tired of these people)
Kinshasa makambo eh
(Kinshasa has problems)
Ngai mwana ya maman
(I am telling you)
Nasi na mesana na kotongo
(I am used to gossips)
Matoi emesana na koyoka
(My ears are used to listening)
Nzoto ekoma libanga po na masolo ya bato
(My body has turned into a rock because of these talks)
Na landaka te, Nzambe
(I don’t care about it, God)
Luambo alanga nzembo
(Luambo, a musicien)
Na sala nini eh ye ye ye eh
(What can I done?)
Vipi Josky Kiambukuta, yeye hakuwa generation ya Franco. Kuna wimbo niliona kaimba na madilu alikuwepo ndani unaitwa kitu kama 'Chandra'hahaha huyu alikuwa anagongwa na Franco akamwambukiza ngoma,aisee ngoma ilitafuna wengi kipind hicho,walioponea n kina madiluu,mangwana ,simaro lutumba na tabu ley huo.wimbo aliutunga akiwa okk jaZz
sida=ukimwi
kuna wimbo wa Franco unaitwa attention na sida aliutoa mda mchache kabla ya kufa
n kweli,maana Mali za Franco yy ndio karithiMke sifahamu,ila ninachojua franco alimuacha akaenda kwa ka binti fulani ,emongo naskia ndio mtoto pekee wa kiume wa franco ni kweli ?
yaapMario ni story ya kijana asiependa kutana kazi analelewa na wanawake;ndio mpaka leo wabongo mwanaume anayelelewa na mwanamke wanamuita Marioo
hahaha kwahiyo hakuwa na namna nyingne zaidi ya kumfumua mpongoThe great Franco na hawara wake Mpongo love walipishana mwaka mmoja kufa.
Franco akifa mwaka 1989 na Mpongo love akifa january 1990 walipishana kidogo sana.
Na inawezekana kabisa wakati wa maazishi ya Franco Mpongo alikuwa mgonjwa huku akisubiri nae kuondoka.
Ila mpongo alikuwa kisu sanaaa siwezi mlaumu Franco kumfanya mpango wake wa kando.
trueMwaka 1970 Franco alipata pigo kubwa kwa kufiwa na mdogo wake Bavon Marie Marie amabaye kifo chake kilitokana na ajali ya gari alipokuwa akiendesha kwa hasira baada ya kukorofishana na kaka yake Franco juu ya mwanamke ambaye pia alikufa katika ajali hiyo.
Mwaka 1980 Serikali ya Kongo (Zaire) ilimtunuka hadhi ya kuwa Babu wa muziki wa Kongo kama heshima kwa juhudi zake za kufufua uchumi amabo ulikuwa ukiyumba nchini humo.
Wakati wa maisha yake aliwahi kuongeza uzito ghafla na kufikia paundi 300 ambazo ni sawa na kilo 136.
Franco alifyatua wimbo mkali mwaka 1985, uliotikisa nchi wa Mario. Lakini mwaka 1987 fununu zikaanza kuzagaa kwamba Franco yu mgonjwa.
Wimbo aliotengeneza mwaka huo kabla ya kifo chake ulikuwa wa ‘Attention na SIDA’(Jihadhari kwa Ukimwi / AIDS)
trueMwaka 1970 Franco alipata pigo kubwa kwa kufiwa na mdogo wake Bavon Marie Marie amabaye kifo chake kilitokana na ajali ya gari alipokuwa akiendesha kwa hasira baada ya kukorofishana na kaka yake Franco juu ya mwanamke ambaye pia alikufa katika ajali hiyo.
Mwaka 1980 Serikali ya Kongo (Zaire) ilimtunuka hadhi ya kuwa Babu wa muziki wa Kongo kama heshima kwa juhudi zake za kufufua uchumi amabo ulikuwa ukiyumba nchini humo.
Wakati wa maisha yake aliwahi kuongeza uzito ghafla na kufikia paundi 300 ambazo ni sawa na kilo 136.
Franco alifyatua wimbo mkali mwaka 1985, uliotikisa nchi wa Mario. Lakini mwaka 1987 fununu zikaanza kuzagaa kwamba Franco yu mgonjwa.
Wimbo aliotengeneza mwaka huo kabla ya kifo chake ulikuwa wa ‘Attention na SIDA’(Jihadhari kwa Ukimwi / AIDS)
kiingereza anajua kidgo sana,yy anajua kifaransa na lingalaMkuu kama mtoto wake anaongea kiswahil au kiingereza ebu mshawishi ajiunge JF hata atupe kidogo tafsir ya baadhi ya ngoma
jaman dahhhAlikuwa mzuri hasaaa akifa bado akiwa kijana kabisa miaka (34)1956-1990.
ndio n generation mojaVipi Josky Kiambukuta, yeye hakuwa generation ya Franco. Kuna wimbo niliona kaimba na madilu alikuwepo ndani unaitwa kitu kama 'Chandra'
narudia tena soma history mpongo aliimba OK jazz mwaka 1977 ubishi wa nn? som history ya okk jaz kwanza alaf rudi
Jamaa_Mbishi njoo soma
MBNA ktk historia ya kimzki ya Franco ukiisoma wekipedia inaonyesha mwaka 1977 alimsajil mpongo love? hebu tufafanulieKumbe huelewi unasoma nini, ndiyo maana nimewaambia M'pongo hajawahi kuimbia OK Jazz, never! Empopo Loway (marehemu) ambaye ndiye alikuwa anapiga saxo OK Jazz ndiye aliyempika M'pongo na kumshawishi kuwa mwanamuziki. Mwanzoni wa M'pongo, Loway na Mayaula Mayoni ambao walikuwa wanamuziki wa OK Jazz walikuwa wanamtungia M'pongo nyimbo ila si kwa OK Jazz bali kwa bendi yake M'pongo iitwayo Tcheke Tcheke Love. Mimi mwenyewe nimeishi Zaire miaka ya 80 mwanzoni na nafahamu story ya M'pongo ya kimuziki ndiyo maana nawabishia kuwafundisha msichojuwa.
ufafanuz muruaWaliwahi kuimba pamoja lakini ni kwa kufanya collabo maana walikuwa na ushindani kiasi cha watu kusema wanachukiana kiasi hawawezi kupanda jukwaa moja hivyo walifanya hivyo kuonesha hawana chuki baina yao kihivyo zaidi ya ushindani wa kimuziki tu, lakini hawajawahi kuwa bendi moja,
Tabu ley yeye alianzia African Jazz ya Gland Kalle(Huyu ndiye baba wa muziki wa Kongo) lakini baadaye yeye na Dr. Nico walijitenga wakaanzisha bendi yao kabla ya wao pia kugawanyika huko mbele kwa kila mmoja kuwa na bendi yake.
Sawa mkuu ntauangaliaumetishaaaa hii ndio ladha ya jf
pia fuatilia tafsiri wimbo wa franco uitwao tres impoli utacheka hadi uvunjike mbavu
mmmmh unataka vita baridi mkuuMkuu leta na ya mahusiano kati ya kagame na bwana yule
Kwenye dongo hili-Franco alimuuliza Kengo "Aliyekupa sindano amekunyang'anya, utashona na nini". Sote twajua bila sindano cherehani si kitu.Mobutu anamtoa jela Franco baada ya week 3 na kumshusha cheo Kengo wa Dondo kua balozi wa Zaire nchini Ubelgiji, Franco anaimba nyimbo ya kumponda Kengo iitwayo trailleur (anasema fundi nguo akikinyanganya sindano utawachomaje watu? Yaani kengo kaporwa madaraka na Mobutu)