hyo ya risasi kurudi yaweza kuwa chai aseeView attachment 721775 kaburi la mama yake mobutu,,liliandikwa kwa maandishi ya dhahabu,,baadà ya kupinduliwa wanajeshi walifika hapa ili kuiba mali,
Wakafyatua risasi kwenye kabuli la kaka yake mobutu ili kulibomoa wachukue dhahabu na madini mengine aliyozikwa nayo,risasi ilimrudia aliyefyatua ikamuingia kifuani,wenzie wakakimbia
Alishavuta kama sikosei 2014 au 15Aisee aisee aisee,, hv Madilu yupo hai??
naamDuhh hii ni kali na mupyaa
madiluu alikufa ,,2007 aliekufa mwaka juzi ni tabu ley ruchereauAlishavuta kama sikosei 2014 au 15
tena chai ya mufindihyo ya risasi kurudi yaweza kuwa chai asee
Unaitwa kimpa kisangameniRefer Papa wemba,, aliwekewa sumu kwenye mic live kbs,, kuhusu Franco sijui ila kuna wimbo wake analalamika kuwa amelogwa
madiluu systeme Akikufa gafla kwa kuanguka akiwa ktk shoo jijini yammosoukro Ivory costAisee aisee aisee,, hv Madilu yupo hai??
exactlyUnaitwa kimpa kisangameni
Anadai kuna mchawi analoga familia yao,anadai atakufa amuache mama yake peke yake
Anamuuliza mama yake "nani atakuzika ?"
Kwa sababu marie bavon alikua kafa
Sio chai,ni ukweli mkuuhyo ya risasi kurudi yaweza kuwa chai asee
Ilikua ni 2007Alishavuta kama sikosei 2014 au 15
Sio chai .mkuu soma nimeelezea kweny comment hapo juutena chai ya mufindi
Ni kinshasa,mkuumadiluu systeme Akikufa gafla kwa kuanguka akiwa ktk shoo jijini yammosoukro Ivory cost
alifia ivory fuatilia tenaNi kinshasa,mkuu
nina uhakika 100% akifia ivory cost mkuuIlikua ni 2007
Alikua amerudi kinshasa kutoka geneve au paris kwa ajili ya ku shoot video yake pale kinshasa
Akaanguka ghafla na kupelekwa hosp na kufia huko
Ngoja tu google mkuu nitarudinina uhakika 100% akifia ivory cost mkuu
Kuna nyimbo ya franco na tabu ley ,wanasema "kinshasa makambo ngai mwana mutu," franco aliimba nyimbo kama 3 kulalamikia umbeya wa kinshasa ,nimejaribu kutuma nyimbo yake ya mwisho iliyorekodiwa 89 na kuachiwa miaka ya 90 ikagoma
ImetuliaKuna hii hapa,, ni bonge ya ngoma asee