malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,312
- 512
sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na tcu ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye gpa hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua gpa ya 3.8 kama udsm,sua,open na baadhi ya private.sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (tanzania yetu).nawashauri wale wote wenye gpa 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya nacte navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama dit,arusha tech,veta,vyuo vya ardhi kama morogoro,tabora na vinginevyo.kwa hiyo kama una gpa hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.nawasilisha.
asante sana kwa shule yako mkuu kwani tulishajikatia tamaa ya kuwa maprpfessor!! Lakini sasa matumaini yapo.