Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

Hii system ya SUA na Mzumbe University zinafanana katika calculation za GPA. Yaani zinaumiza hizi husani katika hili soko la ajira na pale unapokuwa unashindwa kujiajiri kwa sababu mbalimbali.
Wanajamii !!
1. Naomba msaada wenu kuhusu namna GPA za SUA zinavyopatikana. Kwa uwezo wangu mdogo wa hesabu nimekuja kugundua kuwa ukokotoaji wa GPA katika SUA uko tofauti kabisa na vyuo vikuu vingine hapa nchini. Kwani hutumia mfumo wa raw marks:
GPA calculation as per SUA is:
Y= 0.024X + 2.6 for (A; 75-100 marks; 4.4 to 5.0 GPA): Y=0.08X - 1.6 for (B+;70-74.9 marks; 4.0 to 4.39 GPA): Y=0.1X-3 for (B;60-69.9 marks; 3.0 to 3.99 GPA): Y=0.1X-3 for (C; 50-59.9 marks; 2.0 to 2.99 GPA): Y=0.1X-3 for (D; 40-49.9 marks; 1.0 to 1.99 GPA) and Y=0.025X for (E; 0-39.9 marks; 0.0 to 0.99 GPA).All ranging from Excellent, Very Good, Good, Satisfactory, Marginal Fail and Absolute Fail respectively. Where: Y= Grade point and X=Raw marks (%).
Wakati vyuo vingine kwa mfano A ni A tu hata kama ni 100 ama 80, wote hawa wako katika kundi moja. Hivyo basi ukichukua matokeo ya mwanafunzi wa SUA na kukokotoa kwa mifumo hii miwili unapata GPA tofauti kabisa, yaani wa vyuo vingine mfano UDSM atapata GPA kubwa zaidi. Jamani TCU sijui wanalijua hili, maana limekuwa likiwaathiri wanafunzi wengi wa SUA katika soko la ajira hasa ya kufundisha vyuo vikuu na taasisi za utafiti maana huhitaji GPA zaidi ya 3.8, jamani naomba kuwasilisha kama kuna mtu anaweza kufafanua vizuri itatusaidia sana.
2. Kuhusu ajira za ualimu kwa Tutorial Assistants kuwataka kuwa na GPA ya kuanzia 3.8 ni kuwanyima fursa wale wote wenye 3.5 na kuendelea ili hali nao pia wapo katika kundi la pili la ufaulu, na wana uwezo mkubwa wa kufundisha. Ninawafahamu rafiki zangu wengi tu ambao wana GPA 3.5 lakini uwezo wao hauna mfano hata hao wenye GPA za juu hawawafikii. Nawaomba TCU waliangalie hili, maana si kila wakati GPA kubwa ndo inatoa picha ya candidate bora....Ukichunguza sana vyuo vingi bora barani afrika hata ulaya wanataka tu first class ama upper second, ije hapa tanzania ambapo kuna GPA nyingi tu kubwa wamepewa wanafunzi isivyo halali.....nawasilisha
 
Ninavyofahamu kupata ajira ni lazima ufike kwenye interview, ukiachilia mbali wale wa vimemo, interview maana yake ni kuthibitisha kwamba yaliyomo kwenye cheti chako wadau wameyaona na unatakiwa kwenda kuyatetea kwenye either oral or written interview. so GPA either iwe vyovyote iwavyo muhimu nini ambacho utakipresent kwenye interview. Tusikariri tusome tuelewe tukatende kwenye maeneo husika!
 
Hii system ya SUA na Mzumbe University zinafanana katika calculation za GPA. Yaani zinaumiza hizi husani katika hili soko la ajira na pale unapokuwa unashindwa kujiajiri kwa sababu mbalimbali.
umeeona eeh? me transcript yangu mwenyewe lakini naionea aibu kuiangalia, SUA ni kwere wale mababu...
 
Nyie watoto wa SUA msitusumbue na mambo ya GPA angalia uliingia na Alama gani SUA NA MZUMBE kama sio EEE , EES au saana DEE au EED. sasa kelele za nn. Uliza Udsm enzi hizo madogo acheni hizo.
 
sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na tcu ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye gpa hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua gpa ya 3.8 kama udsm,sua,open na baadhi ya private.sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (tanzania yetu).nawashauri wale wote wenye gpa 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya nacte navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama dit,arusha tech,veta,vyuo vya ardhi kama morogoro,tabora na vinginevyo.kwa hiyo kama una gpa hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.nawasilisha.
well said
 
Nyie watoto wa SUA msitusumbue na mambo ya GPA angalia uliingia na Alama gani SUA NA MZUMBE kama sio EEE , EES au saana DEE au EED. sasa kelele za nn. Uliza Udsm enzi hizo madogo acheni hizo.

Msomi wa UDSM division 1 point 3 huko advance!!!

Umejibu utumbo na kinachojadiliwa hapa, duuuuh!!!! Aibu tupu kukutana na vilaza dizaini hiii.....
 
Nahisi sijachelewa sana kwa hii discussion wadugu,

Nachojua katika swala la GPA calculations, hutegemea maamuzi ya chuo husika kuamua kutumia mtindo upi. Mfano, kwa SUA wanatumia system ya HARVARD UNIVERSITY ambayo huhitaji kila marks husika kuingizwa katika formula ili kupata hiyo GPA. wakati mwingine waweza shangaa kwann mwenye B+ nyingi anaweza muzidi mwenye A nying lakin ana C ktk somo moja au zaidi. Kuna baadhi ya vyuo ila sio vyote hutumia pia hiyo system kama St Augustine.

Hii system inasemekana ni nzuri na bora sana kwani recruiters wa nafasi mbalimbali kama hizo za ualimu kwani huangalia chuo husika na tofauti kama hizo. wakati mwingine kama tumekuwa makini na matangazo yenye limit za GPA huweza kuomba kuanishwa kwa system ilotumika kutafuta GPA. Kama umemaliza SUA wanajua ugumu wa hiyo GPA inavyopatikana kwa formula yake.

Nashauri tujaribu kuangalia makini haya matangazo kwan wakati mwingine huweza kutoa tofauti za GPA hizo kulingana na system ilotumika. Nawasilisha mchango
 
Hivi niulize mfano,una diploma ya ualimu serikalini ukasoma degree c ya ualimu ukaamua kuru d kwa ualimu na masterz.je,ukiomba kupandishwa mshahara,itakubalika?au mpaka usome ualimu ngaz zote.
 
kumbe mkuu na wewe unaongea bila kufanya research, na siamini kama SUA mmefundishwa hivyo!nilichotaka kukuonesha ni kwamba calculation ya GPA inayotumika SUA na Mzumbe Chuo Kikuu ni hiyohiyo kwa kukusadia tafuta prospectus ya Mzumbe University(kama unaitaka nipm nikupe) hvyo basi mfano alioutoa hauendani na malengo ya muanzishaji thread kwa sababu GPA zote kwa SUA na Mzumbe zinafanana jinsi zinavyokuwa calculated.MIMI NA JIAMINI KWA SABABU NATIMIZA MSEMO WA NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.Tukirudi kwenye mada nadhani hiyo sxstem inasaidia watu wasome na vilevile pindi unapopeleka gamba lako kama una 3.5 unaonekana upo makini.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,TUACHE MALUMBANO TUJENGE TANZANIA ILIYO IMARA. .

hiyo sio issue jamaa alitolea mfano tu, hakuwa anawalenga directly, lkn kwa kuwa hukuiva vizuri umeanza kupindisha mada mkubwa, hii ni self over conciousness,
 
Aisee hata nilikuwa nimeshasahu kama nilitoa hii comment, umejiunga lini JF mkuu?mbona hii mada tumeshamalizana zamani!anyway kilichopo ni kuwa kuna mtu alicomment kuhusu calculation za GPA ya SUA na Mzumbe university akasema SUA wanabanwa kwenye GPA, mimi nikamwambia huo mfano haufai kwa sababu njia wanayotumia kucalculate GPA SUA na Mzumbe University ni hiyo hiyo. Nikamshauri ili mada yake ikae vizuri tafuta chuo ambacho wanatumia njia nyingine halafu ulinganishe. MKUU UKIONA MADA INA POST NYINGI JITAHIDI KUSOMA POST ZOTE ILI USIJE KURUDIA KITU KILICHOONGELEWA TAYARI
hiyo sio issue jamaa alitolea mfano tu, hakuwa anawalenga directly, lkn kwa kuwa hukuiva vizuri umeanza kupindisha mada mkubwa, hii ni self over conciousness,
 
Duh! sawa wadau mna mawazo mazuri sana,changamoto ni hii,watu wanaofanya vizuri na wanaotesa katika nchi hii,si wale waliofaulu na GPA kuuubwa,ni wale wa kawaida tu,mpaka wale wenye gentlemen wapo wanatesa.Musoma revolution iko kazini,tu-fight tu,maisha popote.ukitafuta haki na usawa utaugua "pressure" kuna vyuo vikuu kibao sasa hivi vinatoa GPA nzuri nzuri naona,UDSM na SUA ndo wanazidi kubana! lakini ridhiki ya mtu haifungwi na kamba.Naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom