Uhusiano na umri

Uhusiano na umri

manushiboy

Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
34
Reaction score
9
wadau naomba tuwekane sawa, ni tofauti gani ya umri unaostahili kuwepo pindi wawili(boy&girl) wanapokuwa kwenye uhusiani unakuwa poa? hear from u
 
mapenzi nisawa na bustani ya maua.
 
Ktk uhusiano umri si kigezo bali ni makubaliano tu. Pamoja na hayo inafaa kuendana kiumbo japo nacho si kigezo sana. Kimsingi mahusiano ni relative term wala haijalishi umri wenu. Nakomea hapa, wanaojua watachangia zaidi.
 
Kama ya:
1.Late W.houston na Ray J
2.Mariah Carey na Nick Cannon
3.Cellion Dion na Mme wake
4.Wema na Mr Blue
5.Shilole na Barnaba
6.Mama wa kikenya na qchillah
7.Late Aaliyah na R.kelly
 
wadau naomba tuwekane sawa, ni tofauti gani ya umri unaostahili kuwepo pindi wawili(boy&girl) wanapokuwa kwenye uhusiani unakuwa poa? hear from u

Nuthing rather than true love
 
Back
Top Bottom