Uhusiano kati ya mapishi ya mwanamke na papuchi yake

Inaelekea nyie watu mnaovaa vikofia vyenu kama ulichovaa hapo ndo tabia zenu halafu mnajidanganya eti mnafunga na wakati midhambi kibao akilini..!

Kikofia hata maaskofu huvaa, watemi wetu, Wavietnam wote huvaa vikofia... Sijafunga, nina midhambi kibao!

Usijitie kunijua, kama wataka kunijua sema kijana.
 
Wacha kuniletea mbwembwe zako wewe, nani kasema anataka kukujua? ww kama nani? na ili iweje?
Watishie haohao bwanamdogo..! Kazi kuropoka maneno yasiyokuwa na nidhamu ukirekebishwa unakuwa mkali,..

Uchafu wako peleka kwenu hukohuko!
 
Uoga huo!

Kwenu bara sehemu gani? Malampaka au Chunya? Huku pwani watu hatuogopani... Kuna msemo kuwa "Cha mtu huliwa na mtu, chuma huliwa na kutu" kwa hiyo siogope kijana.

Halafu mie sina miiba mwilini, ni nyama na mifupa tu...
 
Bado unazidi kuniletea Mbwembwe tu!
 
Tusiwape watu faida sheikh wangu, twende faraghani! Penye watu hapaharibiki neno bwana...

ha ha ha haaaa Daaaaaaah Mkuu kama mtu ni mwogamwoga anaweza akakukimbia!
anyway Acha kuniletea habari zako kama vipi fanya yako nifanye yangu. Ila mkuu unatisha kwa mikwara!
 
Miaka yangu ya kufanya ikram kwa binadamu wenzangu imejawa na viroja vya waoga kama ninyi, ila Pwani ustaarabu jadi yetu ndugu.

Sina nia mbaya na wewe!
 
Kwa kuelekeza mawazo kwenye ngono hata mkipewa mchanga mtauona mtamu....
 
Hii hakika ni kali, ila wajuzi wa mambo wanaweza sema kitu.
 
Kumbee... nilidhani utamu ni juhudi zako mwenyewe.
 
Je na wale wanaopikiwa chakula kitamu na mahouse girls unawaambiaje???????
 
Back
Top Bottom