uhusiano kati ya jf na waabudu shetani

Angalia sana maneno yako maana karibu vitu vyote duniani except bible, ni vya shetani"msiipende dunia na mambo yake, mtu akiipenda dunia kumpenda baba hakumo ndani yake".

Mkuu usisahau na QUR-AN pia siyo ya Shetani.
 
ni bora ungechokoza hisia, umenichoma kidole makalioni

nakuamuru rekebisha hiyo heading haraka!!!!

mi bwabwa(shoga) utaijua tuu

mda wote linawaza kutendwa masaburini tuu.
Inaonekana unapenda sana kutiwa vidole njoo mi nikutie dudu tamu hiyo midole inaharibu na kukuumiza tigo mwaya.
 
kwa hiyo tofauti ya askofu na askofu mkuu au imam na imam mkuu ni uabudu wao wa shetani? Au ni system ya dini ndio ya kishetani, wenyewe hawana habari?
Wewe ulipo anza ulianza kama junior member, mbona leo umekua member?
Tupe siri yako kwanza na sisi tukupe zetu. lol
 
nimesikia tetesi hizi mara kadhaa ya kuwa popote pale utakapoona kuna ishara/alama za kupanda ngazi,cheo,daraja kutokana na aidha mchango wako (mfano hapa jf kutoka member to senior to member to
senior expert member to Premium Member) au kuongeza idadi ya members (kama wafanyavyo kwenye GNLD,TIANSHI), na kuwapo kwa usiri mkubwa wa utawala/uongozi kama lilivyo la umiliki wa hii kitu; ni dalili mojawapo ya waabudu shetani.
je mmeshawahi kusikia hii wanajf au mnafahamu nini kuhusu hiki,its just out of curiosity tu.


jf sio chombo cha imani ni mtandao tu wa mawasiliano ninaamini umesoma communication skills unajua maana yake.
Kama kuna devil worshipers hiyo ni mtu mwemwewe na kutokana na mada zilizomo jf nyingine zinadhihirisha wazi kwamba wamo!!
Client3, MTU ATAHUKUMIWA KWA IMANI NA SI KWA MATENDO YA SHERIA
 
wee mwenyewe lege maana yake mlegezo huna la kuongea na mie.

Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele source( )
mi bwabwa(shoga) utaijua tuu

mda wote linawaza kutendwa masaburini tuu.
Inaonekana unapenda sana kutiwa vidole njoo mi nikutie dudu tamu hiyo midole inaharibu na kukuumiza tigo mwaya.
 
Hivi hao waabudu shetani wapo kweli au ni uzushi ulioenezwa na kundi flani kwa maslahi binafsi?
Mbona sijawahi kuwasikia wakijitangaza popote,wanapataje waumini wapya?
Mi naona ni uongo tu,maana naona sikuhizi mtu akifanikiwa tu anahusishwa na hiyo imani.
 
jamaa mpaka kuanzisha uzi huu cjui kafikiria nini maana cpati picha!!!
 
Back
Top Bottom