Uhuru wa wachunguzi huru

Mi nadhani suala la nani anayelipa sio ishu naamini kwa sababu watakaokuja ni professionals watafanya kazi accordingly na isitoshe watatoa vielelezo ku back up their findings!
Hii ni Nchi au dangulo hao Scotland Yard or FBI waje kwenye nchi yetu........wachunguze na yasiyowahusu.........Mmetumwaeeeeeeeeeee..................!!!!!!!?? mnataka Nchi iwekwe rehani kisa Uchunguzi...............hili si jambo dogo hata kidogo hao wanaotaka uchunguzi wa nje waangaliwe kwa jicho la tatu............Acheni kuishi kwa SONONI.........usalama wa nchi kwanza mambo mengine baadae eboooooooooo.............
 

Mkuu kama issue ni nani atakayelipa, acha serikali alipe ila hawa jamaa huwa wako huru na siku zote wanachohitaji ni kukaribishwa formerly na serikali iliyo madarakani ili kutoa msaada. Katika historia ya service zao hawajawahi shindwa kuwapata wahusika na sababu za uhalifu wao. Wala isingetokea wakashindwa kwa hili la mh. Lissu. Hii ndiyo sababu kubwa ya wanaokataa -- hofu wanafahamu kuwa kuumbuka hukoooo kwaja!
 

Mtu asiyejulikana anaweza sema tofauti na wewe mkuu? Your comment bears the full mark of the unknown assailants in the subject of the independent investigation.
 
Vyombo vya usalama vitamkamata nani ikiwa mashahidi wa muhimu wote wapo Nairobi?
Hata wale wamiliki wa Premio ya blue na wale wa Nisan nyeupe hatuwezi kuanza nao mpaka asubiriwe dereva wa Lissu aliyenusurika kufa?!
 

Wakija na kufanya uchunguzi wao ulio huru mtayakubali matokeo nyie?

Wakisema kuwa uchunguzi wao umebaini kuwa mipango ya kumuua Lissu ilipangwa na watu wengine walio tofauti kabisa na CCM, serikali yake, na/au Paul Makonda mtakubali au mtahamisha magoli?

Manake mnavyong'ang'ania huo uchunguzi ni kama vile mnatarajia kupata matokeo mnayoyataka au yatayowafurahisha!

Naamini wakija hao Scotland Yard na kubaini kuwa hilo jaribio halihusiani kabisa na watu mnaowahisi mtahamisha magoli na kutaka FBI nao waje.

Y'all are just a bunch of mindless losers.
 
Usalama wa nchi uko hatarini kivipi kwamba wakija area d na kufanya upelelezi ndo hatari au unafikiri CIA au M16 au MOSSAD ndo watapenyezwa? Hatari unayohofia wewe ni ipi kupinduliwa magufuli au! Nahisi wewe ni mvivu wa kufikiri!
 

Usalama wa nchi, kwa hiyo unataka kutuaminisha nchii hii iko salama hata sasa?

huo usalama wa nchi mngekuwa nao hao wasiojulikana wasingekuwa wamefahamika mpaka Leo hii?

Uchunguzi huru unafanyika baada ya vyombo vyenu vya kihuni kukosa credibility.
 

Bwana Nyani, ujasiri wa kum address mtu kama nyie unaupata wapi? Na kama vile haitoshi unakwenda mbali zaidi na kusema "Y'all are just a bunch of mindless losers" kwa maana wewe humo haumo.

Ama kweli Nyani haoni Kundule!

Kwa mawazo yako ya kinyani nyani wewe siyo loser ila wengine wote. Kinyani nyani wengine wote wako na kundu la ajabu ajabu isipokuwa wewe. Raha sana kwenye jamvi hili believe me majority ya usernames zinaendana kabisa na wakuu zinaowawakilisha.
 
Acha kufikiri kitoto
Mmeshaambiwa hao jamaa wanataka tu barua ya serikali kuwaruhusu,km hamna link semeni tuwape,
In mbowes voice
 
Mtu asiyejulikana anaweza sema tofauti na wewe mkuu? Your comment bears the full mark of the unknown assailants in the subject of the independent investigation.
Huo ni mtazamo wako mkuu.......Unajua Nchi haiongozwi kwa utashi wa Mtu pekee au mihemuko ya kisiasa la hasha.......Ndiyo maana kwenye post namba 173 ya Nyani Ngabu ameuliza swali muhimu sana na sijui walio wengi humu ndani wamelielewaa....???
Usalama wa nchi uko hatarini kivipi kwamba wakija area d na kufanya upelelezi ndo hatari au unafikiri CIA au M16 au MOSSAD ndo watapenyezwa? Hatari unayohofia wewe ni ipi kupinduliwa magufuli au! Nahisi wewe ni mvivu wa kufikiri!
Mkuu do'nt come with simple Mind.......Una umri gani.....? Unajua kitu kinachoitwa kumtibu Mtu Kisaikolojia..........????

Lizarazu...... Lizarazu......Lizarazu.chunga Mdomo wako kama unakosa hoja ya kuchangia ni vizuri ukakaa kimywa kuliko kutukana watu ambao mama yako anawaheshimu.....!!!! niniposema Usalama wa Nchi kwanza ninamaanisha ya kuwa hatuwezi kuleta maagency wa upelelezi kutoka Nje kufanya kazi nchini mwetu.....Unajua RISK ya kufanya hivyo wewe.....weweeeeeeee weweeeeeeeee................Unaongea kama unapass Air.............H2s
 
Hamna lolote hivi kwani hao M16 au MOSSAD wanavizia tundu lissu apigwe risasi ndo waje?Dont think so upelelezi wa tukio hilo ni wa kipolisi hauna risk yoyote unless wahusika wawe ndo!!!!Hapo nakubaliana na wewe wasije hatuwezi kurisk kihivo!
 
mashahidi wakuu wamewaficha nairobi wameshindwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi bado wanavikosea heshima vyombo vyetu vilivyohakikisha amani kwa miaka 55 kwa kusema hawana imani navyo huu ni upuuzi wa hali ya juu siungi mkono uchunguzi wa nje
 
Unanikumbusha ripoti za REDET na CCM, ni ngumu kupindua matokeo anayoyataka sponsor.
 
Nani alikwambia nchi inalindwa kwa kuwambia Scotland Yard wasije? Unazan kama wanaissue na kanchi kenu wakitaka wanashindwa kuja? Boresheni mifumo yenu, unafkir kaz za majasusi wakitaka kwenda sehem lazma wapige hodi!!
Basi sawa.
 
Dr Ulimboka iliishia wapi? Hivi akiwa mwanachadema yeye? Ok kibiti kule vipi nako? Maj Gen yeye haitaji uchunguzi wa kimataifa.......
 
Nani alikwambia nchi inalindwa kwa kuwambia Scotland Yard wasije? Unazan kama wanaissue na kanchi kenu wakitaka wanashindwa kuja? Boresheni mifumo yenu, unafkir kaz za majasusi wakitaka kwenda sehem lazma wapige hodi!!
Low thinking capacity.........!!!!????? umekula mchana huu Mkuu......????
 
Sijala, ukifika nitakula. Vp, we umefungua kinywa mzee au hauna sukari?
Bado sijala ila nimeagiza mihogo ya kukaanga hapa Pugu mnadani niipoze njaa kwani nahangaikia kibarua kwa hawa YAPI Contr sijui nitapata kama una link na yeyote naomba uniunganishe Mkuu................Nimepigika sanaaaaaaaaaaa.........
 
Bado sijala ila nimeagiza mihogo ya kukaanga hapa Pugu mnadani niipoze njaa kwani nahangaikia kibarua kwa hawa YAPI Contr sijui nitapata kama una link na yeyote naomba uniunganishe Mkuu................Nimepigika sanaaaaaaaaaaa.........
Link gan unayotaka wizara ya Kazi na Ajira ipo, peleka malalamiko yako huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…