Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Kwani kuna nini kibaya ambacho hutaki mwenzako akione? Kama hakuna basi hiyo sio ishu.

Siku moja ukiwa unajua kuwa anakuja tafuta namba ambayo haifahamu na jitumie msg kwenye simu yako hivi "kaka shikamoo,nasikia shemeji yetu anatoa tigo"then mwache asome hiyo msg na hutaona akishika shika simu na kupekua tene.
Kwako ni wa giza ila kwa wengine ulisaidia,ukishauriwa watakiwa kuchanganya na akili zako ndio ufanye maamuzi KIDUDUushauri wa giza
Kwani kuna nini kibaya ambacho hutaki mwenzako akione? Kama hakuna basi hiyo sio ishu.
hakuna kibaya, ila anachoniudhi ni kufuta namba bila ridhaa yangu
Siku moja ukiwa unajua kuwa anakuja tafuta namba ambayo haifahamu na jitumie msg kwenye simu yako hivi "kaka shikamoo,nasikia shemeji yetu anatoa tigo"then mwache asome hiyo msg na hutaona akishika shika simu na kupekua tene.
Kwako ni wa giza ila kwa wengine ulisaidia,ukishauriwa watakiwa kuchanganya na akili zako ndio ufanye maamuzi KIDUDU
Siku moja ukiwa unajua kuwa anakuja tafuta namba ambayo haifahamu na jitumie msg kwenye simu yako hivi "kaka shikamoo,nasikia shemeji yetu anatoa tigo"then mwache asome hiyo msg na hutaona akishika shika simu na kupekua tene.
Nakutakia mema kwani itapunguza kushikashika simu yako na atakuwa akikuamini kuanzia hapoha ha ha! Joseph hunitakii mema
Kwanza mtu kuliwa 0713 sio suala dogo na kweli nakwambia akikuta hiyo msg wala hatouliza maana atakuwa hana majibu ya swali hilo.kama kukuta jina tu anafuta akikuta msg ya kuliwa 0713... si ngumi na talaka juu?
Itakuwa vita ya moyoni maana ule ujasiri wa kuuliza maswali huyu aliyetuma msh hii ni nani utatoweka ghafla na kujikuta mpoleapa unataka sababisha vita