Uhuru wa simu ya mwenzi wako inapunguza michepuko

Uhuru wa simu ya mwenzi wako inapunguza michepuko

Michepuko itabaki pale pale, isipokuwa watu watakuwa creative zaidi ktk mawasiliano na michepuo yao, wataongea kwa codes na utabaki hujui kitu. Kwa mfano anaweza andikiwa meseji na mchepuko, meseji ikisema:

Shoga, watoto hawajambo? Sisi huku wazima! Msalimie shemeji.

Sasa wewe ukiona hii meseji unajua hamna kitu kabisa, kumbe aliyeandika ni dume na kaseviwa kama jike na haya mazungumzo kumbe kwa codes zao wanamaanisha kesho saa nane wakutane kwenye ile gesti! Utaelewa nini hapo!! Codes codes codes!

Duuuuh!!!!!balaaaa!!!
 
Hehehe Evelyn not necessarily... Wengine wanaweka kujilinda tu just in case simu ikaibiwa anajua hakuna information italeak. Ni kitu kizuri kuweka lock kwenye simu hata wewe you should try it too.

info gani uweke kwenye simu banaa..umalaya tu wa kawaida
 
Back
Top Bottom