Uhuru wa mwanamke mwisho ni mlangoni

Uhuru wa mwanamke mwisho ni mlangoni

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,481
Habari wadau wa jukwaa hili!

Ewe mdogo wangu na mkubwa wangu wa kike,t ambua kuwa kabla ya kuanza mahusianao na mwanaume, au mwanamke mpya ni lazima uwe unamjua vizuri kitabia,haiba na mienendo yake.

Usikubali siku ya kwanza hujamjua vizuri anakukaribisha Ghetto unaingia, unakaribishwa kinywaji unakunywa, jua utaumizwa. Ni vizuri ukajiridhisha kwanza na ustaarabu wa mwanaume huyo kabla hujachukua ujasiri wa kuingia ndani ya kuta nne.

Kuta nne mwanmmke huna tena uhuru wa kujitetea kwa lolote. Ni wanawake wangapi wamelazimishwa kutoa tunda mara baada ya kuingia ndani ya kuta nne?

Ni wangapi wamewekewa vilevi na kuliwa tunda? ni wangapi walijitokeza hadharani na kuelezea madhira waliyoyapata bila ridhaa yao ndani ya kuta nne?

Wewe mwanume mwenzangu toa msaada zaidi kwa hili jambo ili kukomesha unyanyasaji na uzalilishaji dhidi ya dada zetu, wapenzi wetu, na ndugu zetu wa kike.

Unajua ni wanawake wangapi wamekutana na mtego huu usiofaa?

Tafakari!
 
Wanaofanyiwa hivyo ujue wanakula vitu vya watu halafu hawataki kupanua miguu
 
mpaka wanaingia chumbani wanategemea nini ?

Mkuu mwanamke ni kama ngamia ukitaka kumchijna msomee kisomo tu atakaa chini mwenyewe na utamchinja tu.tena mtoto wa kike ukijifanya huna haraka naye siku ya kwanza akiingia gheto, kesho atakuja kwa kasi sana atatoa mchezo tu. mimi ninachosikitika ni vitendo vya kiharamia mfano kumlewesha, au matumiziya nguvu kula tunda.mtoto anakuwa mtamu sana ukila tunda kwa kumsomesha kuliko ubakaji."treat a woman as you treat your daughter."
 
Wanaofanyiwa hivyo ujue wanakula vitu vya watu halafu hawataki kupanua miguu

Wapo wengi sana waliingia ndani kwa kukaribishwa kiungwana sana,walipoingia walijutia maishani mwao. sio wote waloofanyiwa hivvyo walikula vya watu.
 
kwani mwanamke kuliwa tunda ni furaha kwake au ni huzuni?
 
inategemea kaka kama ni kwa makubaliano basi ni furaha kwake na kama sio ni kulazimisha basi kwake ni huzuni na maumivu makali speaking this out of experience!!!!!!!!!!!!!!
kwani mwanamke kuliwa tunda ni furaha kwake au ni huzuni?
 
Ubarikiwe kwa kutukumbusha mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyo msichana akipatwa na hilo jangs ujue kala vya watu
 
hiyo heading ilinishtua kuwa uhuru wetu mwisho mlangoni???? kumbe aaah hayo mambo madogo, kwani huyo mwanamke atakuwa anatafuta nini sehemu hatarishi kama hizo???
 
Acha tu ninyamaze,if only walls could speak...mhhh...
 
Shida c kuingia chumbani kwa mwanaume, mapenzi ni maridhiano si kila nikitoka out na wewe am redy for sex, si kila nikija rum kwako am rede for sex, y tuna tafsiri mbaya kuhusu wadada.
 
Mkuu mwanamke ni kama ngamia ukitaka kumchijna msomee kisomo tu atakaa chini mwenyewe na utamchinja tu.tena mtoto wa kike ukijifanya huna haraka naye siku ya kwanza akiingia gheto, kesho atakuja kwa kasi sana atatoa mchezo tu. mimi ninachosikitika ni vitendo vya kiharamia mfano kumlewesha, au matumiziya nguvu kula tunda.mtoto anakuwa mtamu sana ukila tunda kwa kumsomesha kuliko ubakaji."treat a woman as you treat your daughter."

wewe ndo kidume uliepita jando hasaaa, mi nashangaaa sana na nawahurumia wanaume wanaobaka, wanafanya mapenzi kwa nguvu, wanaweka kilevi, kweli we uwe kidume ufanye yote hayo, enyi wazazi wenzangu tuwafundishe watoto wetu wa kiume uanaume jamani
 
Back
Top Bottom