lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
- Thread starter
- #21
wewe ndo kidume uliepita jando hasaaa, mi nashangaaa sana na nawahurumia wanaume wanaobaka, wanafanya mapenzi kwa nguvu, wanaweka kilevi, kweli we uwe kidume ufanye yote hayo, enyi wazazi wenzangu tuwafundishe watoto wetu wa kiume uanaume jamani
mkuu nikikusimulia story moja niliwahi kumshawishi msichana akaingia ghetto kwangu nilipomuomba tunda akaninyima ilikua sa a nne usiku,nilikubali matokeo nikamsindikiza hadi karibia na kwao,hakuamini hadi leo,sikujua kumbe hiyo ilinipa heshima sana.Na tokea hapo alinipenda kuliko maelezo.Baadhi ya wanaume hawajui kuwa mapenzi maridhiano yananoga baada ya kukubaliana.