getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
wadau naomba kujua hivi misri ya sasa Wana uhuru wa kutoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kama hapa kwetu hasa kuhusu utendaji wake?
kama hawana je nchi yao inapiga hatua za kimaendeleo? ukiwafananisha na hii ya kwetu yenye watu walio huru kusema chochote juu ya serikali,? naomba kujulishwa.
mwisho natoa wito kwa wanaohusika kuondoa uhuru huu wa kuongea chochote kwa mustakabali mwema wa Taifa letu
ikiwa ni lazima uwepo basi ni vema watumiaji wawe na utambulisho wao sahihi na anuani zao za makazi halisi.
Ilibaada ya uchochezi wao yakiharibika tujue pa kuanzia