DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
Mabwana wa siku hizi hawapendi ujinga kabisaaauhuru upo lakini not to that extent. pesa kitu kingine. hata ukiwa demu mzuri lakini unafuja pesa ovyo, mabwana watakukimbia.
na hasa katika awamu hii ya hapa kazi tu.Mabwana wa siku hizi hawapendi ujinga kabisaaa
Yaan nimeenda kwenye uzi wa mwanamke anayekuwa na mume wa mtu alivyo mjinga nikakukumbuka na msg yako.[emoji38] [emoji38]na hasa katika awamu hii ya hapa kazi tu.
Umesema kweli kabisa. Hii sio uhuru tenaila uhuru wako usifikie kiwango cha kumponza mwenzako...
DaaaaaahIla bhana kasema kwenye ndoa. Mambo ya ndoa yanakuwa magumu pale ambapo unakuwa hauko huru. Tuchukulie upande wa mwanamke huwezi hata toka na wanawake wenzako kisa mume hapendi. Duuuh maisha ya hivyo bora kuwa single kabisa
Nimekusikia though not health kuwa kwenye hard relationshipDaaaaaah
husi promote watu kuwa single , ndoa tamu bwana. Sijaoa though.
HakikaNimekusikia though not health kuwa kwenye hard relationship
Mm nafikir kukiwa na mawasiliano mazuri ndio uhuru unakuwepo. Au labda sijaelewa madaSasa kukiwa na uhuru kuna ndoa hapo? Kama ndoa ina mawasiliano mazuri lazima uhuru ukosekane pia.
Mkuu hapa si itabidi kila mtu amconsult mwenzie kwa matumizi. Tofauti na kila mmoja akiwa kivyake.Mm nafikir kukiwa na mawasiliano mazuri ndio uhuru unakuwepo. Au labda sijaelewa mada
Ameji contradict huyo mchangiajiMm nafikir kukiwa na mawasiliano mazuri ndio uhuru unakuwepo. Au labda sijaelewa mada
Uwiii hata ukitaka kula SIMA na samaki useme? Huo utakuwa utumwa kbsaaaMkuu hapa si itabidi kila mtu amconsult mwenzie kwa matumizi. Tofauti na kila mmoja akiwa kivyake.
Ana hoja zakeAmeji contradict huyo mchangiaji
[emoji1] lazima kuwe na mipaka fulani.Uwiii hata ukitaka kula SIMA na samaki useme? Huo utakuwa utumwa kbsaaa
Huo utamu umeujulia wapi sasa? Au unahisiDaaaaaah
husi promote watu kuwa single , ndoa tamu bwana. Sijaoa though.