Naanza kukufuatiliahahahahahahahah eti kama kalio umenishindwa we mwanamke hahah nmecheka sana ila kweli ila jamn mi napenda saana kufatiliwa ila wa kunifatilia ndo sina hana hata huo mda mpka itokee akuulize ni ya kuhesabu
Naanza kukufuatilia
wengine tunafuatiliwa mapaka shida
Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Kwa mantiki hii unakuta mtu huyo huyo atakaepewa uhuru baada ya muda anaweza kuanza kukuchezea rafu na dharau juu sasa huwa inatatiza sana, labda tueleweshane huu uhuru unaotakiwa tuwape ni kwamba mnastahili au tuendelee kuwafwatilia nyendo zenu mda wote ukizingatia majanga ni mengi siku hizi!
Karibu tufuatilianeKila UHURU una dos & don'ts. na huwa natamani sana kumfuatilia Evelyn Salt
Karibu tufuatiliane
kama yapi hivi?Huyo inawezekana anajua mambo yako - ndio maana anakufuatilia hivyo.
do kufuatiliwa kwa kiasi lakini si unifuatilie kila saa upo wapi? unaongea na nani? aiii inachosha ukiona vipi vipi ndiyo uniulize lakin si kila saa upo nyuma nyuma kama kalio loh
Mchaga katika Ubora Wakodo kufuatiliwa kwa kiasi lakini si unifuatilie kila saa upo wapi? unaongea na nani? aiii inachosha ukiona vipi vipi ndiyo uniulize lakin si kila saa upo nyuma nyuma kama kalio loh
kama yapi hivi?
Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Uhuru kwa mwanamke unakuja kwa namna mbili. Namna ya kwanza ni pale mwanamke anakuwa na uhuru wa kufanya mambo yake pa si kuingiliwa, kufwatiliwa au kuwa limited. Mfano,kama ni biashara, unampatia uhuru wa kufanya atakavyo.
Uhuru wa pili ni katika mahusiano. Ikumbukwe kuwa WIVU ni sehemu ya mapenzi. Kama huna wivu na mpenzi wako basi humpendi. Lakini wivu huu ukizidi sana ni kero. Ukimpatia uhuru mpenzi wako kufanya maamuzi katika mahusiano ndio uaminifu unashamiri. Mfano, ukimwamini mpenzi wako kiasi kwamba hata ukipata simu yake huwezi kuichokora ndani kuangalia out/in calls ama ujumbe basi unamwamini. Lakini kila jambo comes with a price, siwezi kumwamini mtu ambaye haniamini. I mean trust is a two way traffic. E&O.E
vinginevyo ni kutaka ugomvi mkubwaAaasaaanteee nimekupenda buree mwaaaah!
Ndicho tunachotakaa na si vngnevyoo
hayo sinaga mkuuYale Ya Mpango wa kando