Kuna wengine usipo wafuatilia wanaona kama humpendi
hayo sinaga mkuu
Hahaha. Most definitely. There are some good girls out-there man, true story. Not one chick i dated ever broke my heart or gave reasons to doubt 'em. And truth be told, i can't front that thing they call love bro, so i gotta trust to enjoy it.
yani umenifurahisha Pauloooo, lazima nikupeleke kanisani teh. Hata kama kuna manzi alikutenda before, still Hutakiwi kutumia udhaifu wake kujudge wanawake wengine. Alikuzingua mkaachana basi mabaya yake muache nayo hukohuko. Ukikutana na manzi mpya ni kama ndo unaanza kupenda for the first time. Kwa nini uishi na mtu kwa machale while hajakupa hata reason ta kumdoubt?![]()
![]()
yani umenifurahisha Pauloooo, lazima nikupeleke kanisani teh. Hata kama kuna manzi alikutenda before, still Hutakiwi kutumia udhaifu wake kujudge wanawake wengine. Alikuzingua mkaachana basi mabaya yake muache nayo hukohuko. Ukikutana na manzi mpya ni kama ndo unaanza kupenda for the first time. Kwa nini uishi na mtu kwa machale while hajakupa hata reason ta kumdoubt?
Bahati mbaya zaidi pamoja na revenge zote atakazozifanya, still hatopata amani ya moyo kamwe. Yale maumivu na kinyongo alichokibeba moyoni mwake, kitamla taratibu na kummaliza yeye mwenyewe. Huwezi kupata inner peace kwa kuumiza wengine au kwa kuendelea kuiishi your painful story. "PAIN IS INEVITABLE. ..SUFFERING IS OPTIONAL"Kuna watu wakitendwa na mmoja baaasi ataichukia dunia nzima, na wote will pay!! Usiombe ukutane na brocken heart ambayo ipo kwenye revange, utajuuuuta!!
Bahati mbaya zaidi pamoja na revenge zote atakazozifanya, still hatopata amani ya moyo kamwe. Yale maumivu na kinyongo alichokibeba moyoni mwake, kitamla taratibu na kummaliza yeye mwenyewe. Huwezi kupata inner peace kwa kuumiza wengine au kwa kuendelea kuiishi your painful story. "PAIN IS INEVITABLE. ..SUFFERING IS OPTIONAL"
![]()
![]()
yani umenifurahisha Pauloooo, lazima nikupeleke kanisani teh. Hata kama kuna manzi alikutenda before, still Hutakiwi kutumia udhaifu wake kujudge wanawake wengine. Alikuzingua mkaachana basi mabaya yake muache nayo hukohuko. Ukikutana na manzi mpya ni kama ndo unaanza kupenda for the first time. Kwa nini uishi na mtu kwa machale while hajakupa hata reason ta kumdoubt?
Greg angekuwa karibu leo angeniambia...
![]()
Hahahah muone kwanza, yani kuandika kote kule umeona hilo tu la kanisani?
Nitahisi sipendwi....
Hakuna kitu napenda kama kufuatiliwa ila isizidi, yaani najisikia burudaniii, sio mtu unamuaga usiku natoka out, uwiii anajibu tu "okey"!! Uwiii yaani nakuwa sikuagi tenaaa na usiniulize.
Mentor puliiz me huwa sirubuni wapendwa teh
Haha. Ndio dhumuni kuu la kuwa mpendwa. Unakutana na kufahamiana na wapendwa wengine. Evelyn Salt alisema niwe tu naimba kwaya, najifunza kupiga kinanda saivi. Heaven Sent ye atanigawia upako. I'm down any type of way bro.
do kufuatiliwa kwa kiasi lakini si unifuatilie kila saa upo wapi? unaongea na nani? aiii inachosha ukiona vipi vipi ndiyo uniulize lakin si kila saa upo nyuma nyuma kama kalio loh
Hahahaha, umenikumbusha kuna siku nliaga naenda kwa mamangu mdogo nikaondoka sa 9 nyumbani.Tangu nlivoondoka mpaka narudi sa 3 usiku hakunipigia simu hata kuniuliza kulikoni.Nlivofika nilinunaje.
Akaishia kuniuliza kwani wamekufanya nini huko, mi niko aa, kumwambia kilininunisha anaweza kunicheka.