Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Nov 30, 2011 #21 Bajabiri said: Uhuru hulikosi Library ya UDSM, kuanzia first floor na kile chumba chao cha reference Click to expand... Hahahaha!hakika pale hulikosi!
Bajabiri said: Uhuru hulikosi Library ya UDSM, kuanzia first floor na kile chumba chao cha reference Click to expand... Hahahaha!hakika pale hulikosi!
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Nov 30, 2011 #22 Tena unalikuta limechokaa.kwa kusomwa Daffi said: Hahahaha!hakika pale hulikosi! Click to expand...
Borakufa JF-Expert Member May 26, 2011 1,503 390 Nov 30, 2011 #23 njiwa said: Naona ni post yako ya kwanza karibu JF Mr. Nyuki... Click to expand... Hapana huyu ni mzoefu isipokuwa amefeck id tu
njiwa said: Naona ni post yako ya kwanza karibu JF Mr. Nyuki... Click to expand... Hapana huyu ni mzoefu isipokuwa amefeck id tu
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,167 16,256 Nov 30, 2011 #24 huenda rejao anafanya kazi uhuru
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Nov 30, 2011 #25 Haha y mdau? Never give up said: huenda rejao anafanya kazi uhuru Click to expand...
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Nov 30, 2011 #26 unaongelea lipi la uhuru au la uhuni?
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 30, 2011 #27 kichomi said: Ofisi?hapana labda ofisi zako za kahawa. Click to expand... usibishe ndugu, ofisi zote za serikali kuu pamoja na taasisi zingine za serikali gazeti hili hupatikana!
kichomi said: Ofisi?hapana labda ofisi zako za kahawa. Click to expand... usibishe ndugu, ofisi zote za serikali kuu pamoja na taasisi zingine za serikali gazeti hili hupatikana!
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Nov 30, 2011 #28 njiwa said: Naona ni post yako ya kwanza karibu JF Mr. Nyuki... Click to expand... njiwa nakuheshimu! Usiact kama mtoto mwenye mimba changa aliyoipata pasi na matarajio. Changia hoja, usitafute peripheral za kumtoa kasoro mtoa hoja.
njiwa said: Naona ni post yako ya kwanza karibu JF Mr. Nyuki... Click to expand... njiwa nakuheshimu! Usiact kama mtoto mwenye mimba changa aliyoipata pasi na matarajio. Changia hoja, usitafute peripheral za kumtoa kasoro mtoa hoja.