Uhuru katika Mahusiano?

Shika njia yako mama hapo hamna kitu.
Tayari ana mtu
 
Ila ujue hii comment yako imekaa kibabe
 
Teh teh
Utawapata wajinga siyo mimi
 
Teh teh
Utawapata wajinga siyo mimi

Ni wa ngapi hata nimeshawahi kuwanenea lugha ya moyo kwa ndimi hii iliyotakaswa na mate kutoka katika koo lenye kusema ukweli usio na kificho?! La hasha, hata m'moja wapo haikuwahi kumtokea bali ni wewe pekee ndie mteule uliyeteuliwa miongoni mwa mamilioni waliostahili kuipata fursa hii adhimu.

Ewe kimwana Karma utendee haki moyo wangu ulioteseka kwa miaka mingi ukitafuta pumziko la kudumu katika mikono salama itakayoukinga moyo huo kutokana na mateso ya ulimwengu huu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa haya Maneno Kama unahubiri...ptuuu
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini? Kumpigia mpenzi wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea ni kumnyima Uhuru? Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwa kweli nishaurini sielewi
Wenzie tunatamani wa kutupigia hata mara 1 kwa siku 3 hawapigi, kama hataki kukusikia andaa tissues zako siku ikifika zitakusaidia kwenye kukinga machozi
Mapenzi ni communications....nayo sio mesejes tu kusikia sauti ya mwenzio ni tiba ya maumivu hata kama kajiibia sekunde tu kusikia sauti yako.
 
Aisee....
 
Mkuu unafahamu maana ya neno ASEXUAL? Hebu tuanzie hapo kwanza?
a person who has no sexual feelings or desires, or who is not sexually attracted to anyone.

Nimeitoa google hio hope haina shida yoyote.
Ila bado nina maswali kadhaa kama utanipa ruhusa ya kuuliza basi nitarudi kukuuliza.
 
a person who has no sexual feelings or desires, or who is not sexually attracted to anyone.

Nimeitoa google hio hope haina shida yoyote.
Ila bado nina maswali kadhaa kama utanipa ruhusa ya kuuliza basi nitarudi kukuuliza.
Kama ni personal zaidi basi karibia PM mkuu
 
Acha ujinga, huyo jamaa ana kupenda sema ule muda wa kuchat chat kijinga hana kabisa.
Huyo ni pacha wangu kabisaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…