Just to show that he is Γ Baharia in such πMimi Siwezi kaa siku nzima... kimya I am a caring person... What I give I expect... essential kwa mtu ambae alifanya kila namna kunihakikishia kuwa ananipenda...so I blindly believed him
Sijui why people do the things they do.. am baffled... Why should you go to Xtreme to show someone you love them but just to toy with their hearts.
Pole sana mama ila next time usiamini blindly, sio kila mwanaume ni muhuni! Tungekuwa pamoja now ila tatizo ulini ignore bure tu.Natoa TU dukuduku moyoni...HAIJAWAI TOKEA NIKADANGANYWA HIVI....hapa ukweli najua... Ninaumiaa TU rohoni yaani sana
[emoji1787][emoji1787]naona unajipigia pande mzee babaBora hata ungekuwa na mimi yani [emoji7] ila pole sana achana na hio sungura tope
Mawasiliano ndo Key, yakikosekana au kulegelega basi jua you are a few yards before breakupMimi sipo hivyo... Naamka alfajiri kuswali namtumia msg.. anajibu akiamka.. nakusema anaenda kazini... Namtumia msg mchana labda SA saba...then akitoka...Kama anaangalia mpira akisema simtumii msg.. Kama anakutana na wasjkaji akisema Wala simsumbui...
Lakini Simu nampiigiaga usiku Mara nyingi sanne...anasema hua hasikii...Mara akilala anaweka vibration.
Jana kazima Simu SA tatu...usiku Hadi sa Moja nampigia simpati...
Ukilalamika anasema UNALALAMA Sana..kwani kafanya Nini Hadi nisimuamini.
Kama unampenda mpnz wako na mnagombana kutokupokea SIMU... atapikea na kusema nipo busy ..au atatuma msg kuwa Kuna Jambo nafanya... Sio kusema UNANYIMA UHURU...
Mawasiliano katika Mapenzi ndo yabuild Mapenzi... Na kujaliana na kuoneana huruma
Hiyo nafasi bado ipo au ndo kashachelewa dada wawatu?Pole sana mama ila next time usiamini blindly, sio kila mwanaume ni muhuni! Tungekuwa pamoja now ila tatizo ulini ignore bure tu.
Mi niliombaga line ila mtoto hakunipa ushirikiano...[emoji1787][emoji1787]naona unajipigia pande mzee baba
Nafasi ipo sana tu hata wewe kama unataka karibu! Tumeumbiwa upendoHiyo nafasi bado ipo au ndo kashachelewa dada wawatu?
Huyo alizidi aisee...ndio tabu ya ku date wanafunzi wa sekondari.Uhuru katika mahusiano ni muhimu sana, kabla ya kua katika mahusiano yenu kila mtu alikua na mambo yake na ratiba zake au aina yake fulani ya maisha aliyokua anaishi, ukiingia katika mahusiano zipo ambazo ratiba au aina fulani ya maisha itapungua lakini sio yote..
Mfano hai kwangu: niliwahi kua katika mahusiano na mwanamke mmoja hivi basi alikua anakaba hadi penati, atanichatisha na kunipigia simu muda wote, always tuwe karibu kama sio physical basi through simu (nadhani kwa akili yake alijua hayo ndio mapenzi lakini kwangu ilikua ni kero)
Kuna muda nakua bize na kazi, kuna muda naenda zangu kucheki mpira either taifa au ligi ya wenzetu (ligi kuu ya uingereza) sometimes inabidi nijichanganye na wana sasa huyo mwanamke ukimwambia tu unafanya moja kati ya haya ananuna, anaona ni kama humpendi kwake alikua na mindset ya 50%-50% kama anavyofanya vile basi na mimi nifanye hivo hivo hadi nikawa najiuliza mapenzi gani haya ya kuchekiana kila dakika as if umebandika maharage jikoni.
Kwa experience niliyoipata mtu huru namuona ni yule aliyepo single mbali na hapo ni uhuru wa bendera tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miniache nipambane na penzi langu...tushapatana[emoji1][emoji1][emoji1]
Yani huo ulalamishi kwa mwanamke nayempenda inakuwa kama starter. Ntampa maneno malaini hadi ashindwe na kulegea.Bora Wewe unampeti peti huyo mkeo...Mimi huko kupetiwa petiwa ndo nakutaka...lakini kumpeti peti mtu usiona umuhimu wake Ni kazi Sana...
unajua Kuna muda unaweza Seema tu siku hizi naona hunipendi...Jibu lake ushaanza lawama Kama HUNA la kuongea kata Simu[emoji44][emoji44][emoji44]
Dooh kumbe mtu unaTAKA TU kusikia maneno mazuri masikini...
Aisee mtu akikipenda ...hutumiii nguvu nyingi...yaani Mambo yanaflow TU.
Minimeona nlikua natumia nguvu nyingi saaaana..kutaka kumfahamu yeye Wala haangaiki...
Mi sinaga masihara na mwanamke mwenye mapenz namimi π[emoji1][emoji1][emoji1].... Kwaiyo Wewe ndo Sio baharia eeh
Penzi la kuteswa huwaga lazma likolee maana hupindui hapo ndio maana umeamua kulia lia tu πMkuu mbona mnaniandama na Jamani.. penzi limenikolea mie
Usiniambie bana, kwahio kakubembeleza sio πMiniache nipambane na penzi langu...tushapatana[emoji1][emoji1][emoji1]
Ponda raha mama, hakuna namnaNikweli ulisema... Ndo hivyo
Roho imenijaa nahisi kupenda Sana...hata sielewi Jamani...
Doooh Itabidi niswali Istikhara
Vigezo vyote ninavyo bibie ,π wasiwasi ulikua kwako tuMkuu..hukutimiza Vigezo vya.. masharti na vigezo kuzingatiwa[emoji1]