[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Sijui Watu hua wanadefine vipi Upendo... Ukimpenda mtu Simu yake unaifurahia sanaaa...Tena anaanza mylove, nyonga mkalia ini...nipo busy ntakupigia...Basi Roho kwatu..Ya kupigiwa simu, kuulizwa nipo wapi, nafanya nn yani ndio mapenzi ninayoyataka ila unayoyapitia sasa ndio ninayoyapitia mimi kwa madam mmoja ivi mpka najuta
Kila mtu anadefinition yake ila uyo pasua kichwa. Atakukumbuka baadae pindi utakapokua umeshamove on[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Sijui Watu hua wanadefine vipi Upendo... Ukimpenda mtu Simu yake unaifurahia sanaaa...Tena anaanza mylove, nyonga mkalia ini...nipo busy ntakupigia...Basi Roho kwatu..
Looh hili gudume...linasema lenyewe Ni SELFISH nawala halijali..khaaa
What the hell
Namimi Nashangaaa...Sijawai kuwa na Mahusiano Kama haya..KABISA..Nimekuelewa vema. My point ni kuwa mtu wa namna hii anaeishi na wewe kwa dharau hivi kwanza hiyo nguvu ya kumtafuta unatoa wapi?!
Raha ya mapenzi ni kutukuzana. Yaani unaabudu uwepo wa Mwenzako katika maisha yako. Sio unakuwa unamtazama kama kituko ukitarajia afanye vitu kwa ajiri yako na wewe hakuna unalofanya kwaajiri yake....
Tusijuane huku[emoji2958][emoji2958][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifuata hadi huku ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka hadi nimepaliwa mate
Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU dooh
Nikamkumbuka mpnz Wangu alivyokua ananiambia Sasa unalalamika Nini? unaTAKA nikupendeje...Basi haya unaTAKA nikulambe matako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Nyuma sirudi HATA IWEJE ..tunasonga front
ndioMtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..
Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?
Kwakweli nishaurini sielewi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha ha ha ha ha haTusijuane huku[emoji2958][emoji2958][emoji23][emoji23][emoji23]
binafs mimi sipendwi kubanwa simu 120 per hour ni uzwazwaKuwa na Mahusiano na kuishi Kama hauna Mahusiano ndo uhuru...?.bAsi awe huru tu
umesema out of 5hours au sijaelw vizuri[emoji23]Nikweli..Sasa simu tatu kwa siku Ni too much?
Umefurahiii[emoji23][emoji23][emoji23]nabadilisha I'd nakwambia, utanisumbua Sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
hakikaAisee Kama Simu tatu ndani ya masaa matano Ni nyingi Sana..Tena weekend muda ambao hufanyi KAZi...SHIDA IPO
Mkuu Kama enzi hizi za JF...upo JF..Kwanini usimuulize Babu yako kabla ya internet walikuwa wanafanya Nini Ukafanye hayo badala ya kuingia JF.Dah.. Girl you have very little logic....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sim sim sim sim sim sim sim sim sim sim.......
Damn. Embu uliza shangazi zako hapo kabla ya simu waliishije na wapenzi wao.
Very sorry aisee.
Alikuaminisha atakuoa nini? Ila ma baharia Mungu atusamehe tu.
Mawasiliano ndo Mapenzi communication ndo Mapenzi....Sasa tukiwasiliana asubuh..umeamkaje Salam...Alafu usiku ..usiku mwemaDah.. Girl you have very little logic....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sim sim sim sim sim sim sim sim sim sim.......
Damn. Embu uliza shangazi zako hapo kabla ya simu waliishije na wapenzi wao.
Very sorry aisee.