Nyie mnakondaje jamani..na mapenzi..Mimi hapa leo sijafanya KAZi yotote nimedeligate...Ila Nasikia NJAAA BALAAAA... Yaani naona Huyu nlimoa kazi ya kupika anachelewa..Mimi nilikuwa hivyo, nikaingia Cha kiume
Nikapata wa hivyo, yaani niliisha nikawa Kama Nina utapiamlo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli unaona na nafsi inagoma kukubaliana na unachokiona
Sawa nimeshakuelewa , ngoja niendelee kumpigia chapuo Jamaa, kama vip mrudie tu maana alionekana ana upendo Wa kwel kwakoSio kila kinachoandikwa JF Ni ukweli mkuuu....
Ila huu Uzi wa leo NIUKWELI
PM yako imefungwa..ningekueleza kinaga ubaga...HAPA SIWEZ ELEZEA SANASasa Kama hakukufanyia baya lolote mbona ulikuja kumdhihaki Sana huku , aisee hapa sasa nimeelewa kwel mwanamke ukishatembea nae mapenzi hua hayaishi , kwa maneno haya unayoongea sasa, Jamaa akirudi kupasha kiporo wallah huchomoi
Una stress za kula kulaNyie mnakondaje jamani..na mapenzi..Mimi hapa leo sijafanya KAZi yotote nimedeligate...Ila Nasikia NJAAA BALAAAA... Yaani naona Huyu nlimoa kazi ya kupika anachelewa..
Kukonda kisa Mapenzi Sijawai...ILA KUUMIA ROHO hii Mara ya pili
Nanisipo angalia kitambi kitarudi...nikiwa na stress NAKULA SANA
Unaiona simu kabisa na wala hauko busy ila unaona taabu kuipokea. Tena ndio apige aanze malalamiko , unaweza kumkatia simu aendelee kupiga kelele mwenyewe. Bibie ajiongeze tu.Hahahah hii ni habari kwa kifupi tu [emoji23]!!!
Ilishawahi kunitokea, mungu anisamehe tu jamani ila dah sikuwa na jinsi.
Kwann sasa uwe na mtu wa namna hii kwanza.....?!Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU doohUnaiona simu kabisa na wala hauko busy ila unaona taabu kuipokea. Tena ndio apige aanze malalamiko , unaweza kumkatia simu aendelee kupiga kelele mwenyewe. Bibie ajiongeze tu.
Sam......huwaga hueleweki wacha ninywe apple punch nikurudie, nakufungulia Uzi kabisaKwann sasa uwe na mtu wa namna hii kwanza.....?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU dooh
Nikamkumbuka mpnz Wangu alivyokua ananiambia Sasa unalalamika Nini? unaTAKA nikupendeje...Basi haya unaTAKA nikulambe matako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Nyuma sirudi HATA IWEJE ..tunasonga front
Duuuuh!! [emoji2297][emoji2297][emoji2297]Namimi ndo naambiwa Kama unapiga Simu kulalamika KATA SIMU dooh
Nikamkumbuka mpnz Wangu alivyokua ananiambia Sasa unalalamika Nini? unaTAKA nikupendeje...Basi haya unaTAKA nikulambe matako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Nyuma sirudi HATA IWEJE ..tunasonga front
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifuata hadi huku ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka hadi nimepaliwa mateSam......huwaga hueleweki wacha ninywe apple punch nikurudie, nakufungulia Uzi kabisa
Ya kupigiwa simu, kuulizwa nipo wapi, nafanya nn yani ndio mapenzi ninayoyataka ila unayoyapitia sasa ndio ninayoyapitia mimi kwa madam mmoja ivi mpka najutaBahati gani?
Nimekuelewa vema. My point ni kuwa mtu wa namna hii anaeishi na wewe kwa dharau hivi kwanza hiyo nguvu ya kumtafuta unatoa wapi?!Mkuu.... sinimesema nilidanganywa...au unadhani nilikua najua outcome nika ignore