[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo , haya yanayokukuta usikute ni dua baya LA Jamaa maana ulimdhihaki Sana , atakua alikuombea uwe unakutana na mabaharia [emoji1787][emoji1787] kazi unayo ya kuendelea kupiga kunut[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Yule wakufulia nguo jamani mnapenda Sana kunikumbusha...
CA,Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..
Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?
Kwakweli nishaurini sielewi
Mkuu ni mimi huyoo nilikimbiwa akisema yeye sio msaidizi wa kazi[emoji23]hapa ni mwendo wa maombi tu mpk kieleweke sasa hivi atakutana na anayempa uhuru ila dushe halifanyi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]Pole afadhali ungeendelea na yule aliyekua anakutaka umfulie Nguo huku hajakuoa alikua anatengeneza mazingira ya ww kua Mke bora kwake, sasa hapo umekutana na wale wanaojiita mabaharia
I'm a caring person very caring but I can care at a far too.Mimi Siwezi kaa siku nzima... kimya I am a caring person... What I give I expect... essential kwa mtu ambae alifanya kila namna kunihakikishia kuwa ananipenda...so I blindly believed him
Sijui why people do the things they do.. am baffled... Why should you go to Xtreme to show someone you love them but just to toy with their hearts.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nacheka kwa hurumaAiseeee..SIKUWAI jua people can lie to that extent...GUESS AM GULLIBLE
Anaweza kuja na gia ya kuoa kabisaNshatoka huko... Humu nlikua natoa dukuduku tu
Matatizo unayapimaje ? Kupoteza muda katika mambo ya kipuuzi siyo tatizo ? Kupoteza katika mambo yasiyo na faida na wewe si tatizo ? Au kwako wewe tatizo ni nini ?Mkuu muhuni ni muhuni tu hata kama haangalii mpira
Wapo watu na familia wanaangalia mpira na hakuna tatizo kwenye Maisha yao
Hapana...hakuwai niombea Dua mbaya...hakuwai nifanyia MABAYA..Mungu Wangu Shahidi...Sina hata baya la kungumzia..Ila Kuna sababu TU Zilitufanya tukakubaliana kuachana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hivyo , haya yanayokukuta usikute ni dua baya LA Jamaa maana ulimdhihaki Sana , atakua alikuombea uwe unakutana na mabaharia [emoji1787][emoji1787] kazi unayo ya kuendelea kupiga kunut
Sawa....Mkuu asanteCA,
Pole sana. Juzi niliona umejibizana na majamaa wawili humu violently nikahisi kuna ttzo...aisee you have not been normal....
In short jamaa anazingua au labda anaipitisha dhahabu ktk moto ili izidi kung'aa. Yte kwa yote Mungu akuongoze ktk subra atayaweka yote wazi kwa wakati wake.
Basi naomba nikuoe mke wa nne, ukamilishe hesabu, halafu mimi huwa sina utani katika hili, ukikubali leo wiki ijayo nakuoa fasta.Nshatoka huko... Humu nlikua natoa dukuduku tu
Hapa ndipo sijakuelewa. Andika maneno nikuelewe.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa Kama hakukufanyia baya lolote mbona ulikuja kumdhihaki Sana huku , aisee hapa sasa nimeelewa kwel mwanamke ukishatembea nae mapenzi hua hayaishi , kwa maneno haya unayoongea sasa, Jamaa akirudi kupasha kiporo wallah huchomoiHapana...hakuwai niombea Dua mbaya...hakuwai nifanyia MABAYA..Mungu Wangu Shahidi...Sina hata baya la kungumzia..Ila Kuna sababu TU Zilitufanya tukakubaliana kuachana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Usicheke ukadhani mazuri..wallahi Naaapa mbele ya Mungu Sijawai DANGANYAWA kiwango Cha SGR...Huyo kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nacheka kwa huruma
Pole aiseee
Mimi nachojua kuchomoka hapo ni usali Sana otherwise utakuja na Uzi mwingine.
Watu wa hivyo wanajua kucheza na hisia, na leo inaweza isiishe akakushika akili ukatamani uje ufute huu Uzi na kujiona wewe ndio mkosaji sio yeye
And there is always a way outYeah...Shit happens.
We never lose...we learn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Doooh
Ila sitoacha kuwa muaminifu na kufanya yaliyo mema coz of this.
Sometimes we win.. sometimes we loose... But our faith remains the same
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani nacheka kwa huruma
Pole aiseee
Mimi nachojua kuchomoka hapo ni usali Sana otherwise utakuja na Uzi mwingine.
Watu wa hivyo wanajua kucheza na hisia, na leo inaweza isiishe akakushika akili ukatamani uje ufute huu Uzi na kujiona wewe ndio mkosaji sio yeye
Mimi nilikuwa hivyo, nikaingia Cha kiume[emoji3][emoji3][emoji3]...ungejua Acha TU my dear
Nlikuwaga Mgumu kupenda penda..looh Salale
Sio kila kinachoandikwa JF Ni ukweli mkuuu....Sasa Kama hakukufanyia baya lolote mbona ulikuja kumdhihaki Sana huku , aisee hapa sasa nimeelewa kwel mwanamke ukishatembea nae mapenzi hua hayaishi , kwa maneno haya unayoongea sasa, Jamaa akirudi kupasha kiporo wallah huchomoi
Hiyo ndio busara, mtu mwanaume asifanye uwachukie wanaume wote Wala uyachukie mahusiano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Usicheke ukadhani mazuri..wallahi Naaapa mbele ya Mungu Sijawai DANGANYAWA kiwango Cha SGR...Huyo kiboko
Looh Dada wawatu Mimi kumbe mshamba TU wa Mapenzi sikujijua wallahi.
Ila Sina chuki na wanaume Wala Huyu simchukiii... nimemsamehe tu