KAPOSI SARCOMA
Member
- Jan 13, 2018
- 38
- 50
Sasa we huoni?? Hata picha hazionyeshi?wewe utakuwa ulikataliwa tu sasa unataka kutuaminisha mambo mengine ili tuanze kuwaporomoshea matusi
wewe umeuona wapi hapo uchi kama siyo chuki binafsi ni nini kingine?!!Sasa wadau kila nikisema wanawake wengine wavaaga kishetani/kimalaya mnakataaga.kuna wanawake ninao kwenye list yangu ni wanavaaga kihuni sana.mimi niwaonye tu hadharani waache utovu wa maadili na wavae vizuri.leo naweka uthibitisho kwa picha ya namna wanavyovaaga kimalaya,mnataka mnunuliwe haraka? Acheni haraka umalaya wa mitandaoni.na wengine wanajidai waislam wa swala tano,OMG.
Kwa hali hii hawa wanawake wafanyweje ili kuliokoa taifa na hili janga?
Kuvaa kimalaya ni kawaida??Unamiaka mingapi wewe....?mbona vitu vya kawaida tu hivyo....
Elezea maana ya kuvaa kimalaya kwanza tukuelewe....Kuvaa kimalaya ni kawaida??
hakuna uchi hpo unaotuaminishaSasa we huoni?? Hata picha hazionyeshi?
Elezea maana ya kuvaa kimalaya kwanza tukuelewe....