Uhuni huu wa TBC kuchomoa Signal Cable wakati Bunge Limetota haukubaliki.

Mie nilijua huyu jamaa wa TV cable hapa mjini kwetu kaelekezwa na RC wetu azime, then nikahisi au TV yangu ni anologia ila baada ya kuona channel zingine zipo ok, nikajua kuna namna, KWA KWELI TBC inakelekea kuwa kama KBC na KANU Kenya, tutaisusa Since Tido Mhando atoke TBC nahisi hakuna hata uongozi hapo TBC
 
Back
Top Bottom